Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

barozi wa ethiopia itabidi ajieleze Ikulu, why ethiopian airway inambeba lissu?
 
Reactions: bmk
Akili zako wewe ndio finyu, hujui athari ya ukiongeacho. Umeongea confidently kuwa "hatofika msibani" as if unajua nini kitamkuta before hajafika huko. Au unaweza kutupatia govt. Release au Oda ya mahakama ya kumkamata TL pindi akiwasili Airport? Au umeshaanza kurithi mikoba ya ramli ya babu yako?
 
sasa unanitukana kisa nini?? Mkewe lissu mwenyewe hatukani kama wewe, hongera kwa kumzidi mke wa mtu, sisi wengine matusi hatuwezi
 
Acha kusingizia uchawi, mbona unausifia Sana? Ndio urithi wako Nini? TL ameshakiuka mashariti ya dhamana, ajiandae to kusondekwa🤣😂🤣!
Ndugu yangu utaugua bure.
Enenda ukatubu uweze kusamehewa dhambi zako ili shetani aliekutawala akutoke, nawe uwe kiumbe kipya.
Mungu ni mwema huwapokea kwa upendo na kuwasafisha wanaomwendea.
AMEN
 
Reactions: bmk
sidhani kama kuna mtu aliyekatazwa kwenda kumpokea ampendaye, naamini kilichokatwa ni mkusanyiko na shamrashamra za mamia ya watu airport na mabarabarani....
Unadhani hii imezuia nini au imeathiri nini?
 
Unadhani hii imezuia nini au imeathiri nini?

Ndio maana niliongelea neno "hekima na busara" nikashauri TL asogeze mbele lakini imekuwa vizuri kuna upande umetumia hekima na busara hata baada ya TL kuwasili..

Unafikiri huo upande usingetumia hekima na busara na kufanya ule upumbavu tuliozoea kuuona nani angeathirika kama sio raia masikini na familia zao huku wanasiasa wakiendele na maisha yao, binafsi sipendi kuona raia wakitumika kama bomu la kujitoa muhanga ndio maana napenda hekima na busara maana migano iko mingi zinapotokea athari...refer ya CUF Pemba na Unguja, Waislamu Mwembechai, nk waathirika kuna mwanasiasa anayewajali mpaka leo? yapo mengi watu wameachwa na makovu na hakuna kilichoendelea..

Bila shaka umeelewa nilichomaanisha...
 

Hawezi kufika masasi tayari kizingiti kimeisha wekwa anatakiwa mahakamani 30 jly 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…