Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Duh, mkiambiwa Chadema ni SACCOS muwe mnaelewa. Yaani taarifa za kiofisi inatolewa kwa njia ya twiter
Wewe hama huko Nanjilinji njoo mjini utajua dunia Inaendaje!
 
Wakisema ataenda msibani eti ndo iwehuruma ya kutokamatwa.
wenye msiba hawataki aende.
Wenye msiba ni kina nani wakati wanatumia uwanja wa watanzania na kodi zao katika gharama za msiba?
Mnabinafsisha hadi msiba
Basi uweni mwingine tena aliye madarakani ili msiba uwe mkubwa zaidi mnufaike kisiasa, ebo!
 
Sindo sababu ya kumzimisha mzee wa watu ili mpate cha kupambana na Lissu.


Chura ukimpiga Teke ndio unamwongezea mwendo.


Kwa ufupi yote Yanayofanywa na Lumumba na dola yake ndo yanazidi kymfanya Lissu aingie mioyoni mwa watu.

Hawa watu wa insta na mitandao?😂😂😂
 
Mtaji wa Ccm ni uoga wa wananchi, lkn kizazi cha waoga ndo kinaisha hivo.
Yaliwapata segerea na bado hamjifunzi! Pamoja na sehemu nyeti za kiusalama wa taifa airport ni mmojawapo. Kuna sehemu za kufanya mkusanyiko ya mihemko ya kisiasa lakini siyo airport hasa kwa mazingira ya msiba wa kitaifa. Naamini safari hii kipigo siyo tu cha jeshi la police, lakini pia majeshi mengine pia halali yao. Sisi wengeni ni kuonya ili msije mkasema hatukuambiwa. SHAURI YENU.
 
Nyakati hizi ni za Lissu; wakubali,wakatae.
Salary slip unampenda Lisu kiasi kwamba hata ukiwa unakula ukimega tonge unamuona Lisu[emoji3][emoji3][emoji3]

Nyie ndio huwa mnakuja kuumia vibaya sana
 
Mbona watalii hawawekwi karantini?

Tangu lini mfa maji akaacha kutapatapa?

Ya karantini wamechemsha tusubirie jingine.

Yaani ni ubazazi tu!

Uzuri ni kuwa malipo ni hapa hapa duniani.
 
Lissu atasababisha wengine wafe. Yaani akifika live msibani na aende mpaka masasi kama mwakilishi wa chama, mamaye watu watajinyea. Atakuwa ndiye mtu maarufu zaidi kuhudhuria msiba huo
Sipati picha pale atakapo kwenda Msibani wilayani Masasi kama kiongozi wa Chama (M/Mwenyekiti) halafu ndio anatambutishwa "Naomba kumtambutisha M/Mwenyekiti Chadema Mh. Tundu Lissu" sijui hali itakuwaje. Tukiacha Unafki, Lissu anamvuto wa kipekee na anakubarika sn kwa Watz walio wengi bila kujali chama. Mungu ibariki Tanzania
 
Unampango wa kumfanya nini? Je likitokea la kutokea katikati yake, utaweza kukwepa hiyo dhamana?
Tumia akili wewe kwani mimi nina dhamana ya kufika siku hiyo?? kulingana na kesi zake.zinazoendelea mahakamani atachukuliwa kama mhalifu kwa mujibu wa sheria, au unajifanya hulijui hilo?? hakuna mwenye dhamana ya maisha ya mwenzake hata wewe unaweza ukafa kabla ya lissu
 
Na wasafiiriwa wanaingia na kutoka Kama kawaida na wanasindikizwa na kupkelewa Kama kawaida.

Wasafiri wengine wanaingia na kutoka kama kawaida, na ni kweli wanasindikizwa na kupokelewa... Ila sidhani kama wanapokelewa na kundi la watu 100++ na shamrashamra zinazoweza kusimamisha operations na utaratibu mwingine..
 
Mbona hamjasimamisha michezo??? Mbona hamjafunga sehemu za starehe na watu wanaruka majoka kama kawaida ???

Au msiba wa Mkapa ni kwenye mapokezi ya Lissu tu?
Shame!!!

sidhani kama umeelewa kauli niliyosema ya hekima na busara vizingatiwe... michezo hufanyika kwenye viwanja vya michezo, starehe hufanyika sehemu za starehe.. Mapokezi ya Lissu yanafanyika airport...

TL angeweza kubadili safari, TL anaweza kushuka kimya kimya bila umati wa watu airport akaendelea na program zake...ndio maana ya hekima na busara...
 
Maombolezo yana athirika vipi na kumpokea mtu wako umpendae? Mbona tunakuwa mabwege namna hiyo nchi hii?

Mtatumbia sasa tusiwapande wake zetu hata kama wako kwenye heat kwavile kumetangazwa maombolezo?

sidhani kama kuna mtu aliyekatazwa kwenda kumpokea ampendaye, naamini kilichokatwa ni mkusanyiko na shamrashamra za mamia ya watu airport na mabarabarani....
 
  • Thanks
Reactions: bmk
Yes, Membe,zito,maalimu pia wajumuike kwenye kumpokea bwana lissu
 
Back
Top Bottom