Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Hatimaye yule aliyesubiriwa na wengi kishaanza safari ya kurudi nyumbani , maneno matupu hayavunji mfupa , kichupa hiki hapa
Hii habari itasababisha vitanda visilalike kule kwa wakulu Chamwino Dodoma
 
Naona picha ndio linaanza bila kutangaziwa wachezaji ni akina nani...yetu macho
 
Too bad, hatopata kiki aliyokuwa anaitegemea.

Habari ya taifa kwa sasa ni Hayati Rais mstaafu Benjamin Mkapa.

Right now Lissu is a footnote.
Kwani mtu kurudi nyumbani ni kutafuta kiki? Wasukuma mna roho mbaya sana
 
Alie wapanga jina la nyumbu atakua aliona mbali Sana
Na aliyewafananisha na nguruwe hajakosea
Screenshot_20200628-103658.jpg
 
Inavyoonekana na Dereva wa Lissu nae anakuja kesho. Siasa za chuki na kuumizana sio siasa ni utumwa. Tusiwatweze watu Tanzania ni yetu sote.

Kesho Lissu aachwe afanye siasa zake na alindwe. Hakuna sababu ya kutufanya watanzania wote tuonekana tuna roho mbaya huko duniani

View attachment 1517917
Hivi uligombea ubunge kwa ticket ya ccm ukakosa? Mbona u turn Kali
 
.
Lakini urofa utaendelea kuishi ndani mwa hao walioitwa au hujui kuwa maneno huishi daima Ila watu tunakufa.
Sijui maana kifo akichagui huyu rofa na huyu si rofa labda! Ila angetumia mbinu za kutokua rofa kuepuka mauti
 
Hili neno wanyonge linakera sana!! Mimi sio mnyonge

Wewe sio mnyonge ila kuna wanyonge (wasio na uwezo wa kupaza sauti wanapodhulumiwa haki zao) hao ndo wanyonge nliowakusudia. Wapo vijijini.
 
Hekima na busara ni jambo muhimu sana.

Rais ameshatangaza maombolezo ya 7days, ni vyema tukatii hili, BWM alikuwa ni Rais wa JMT kwa miaka 10 ni vyema tukampa heshima yake kwa kututumikia pamoja na yote yaliyotokea kwenye utawala wake.

Siku saba za maombolezo sio nyingi, tuache zipite siasa ziendelee, TL angeweza kubadili ratiba yake akasogeza mbele, Tuweke siasa pembeni kwenye mambo ya msingi..
 
Katika hizi siku saba ofisi zinafungwa?
 
Back
Top Bottom