Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Sawa......Ila MWENDE TARATIBU...

Bendera iko nusu mlingoti...mzee wetu BWM kalala zake pale lugalo.....

So Patriotic guys ASTEASTE tunajua MNA JIBARUA REFUUUU kutoka Holland ila.......

PEACE PEACE PEACE

Jiheshimuni mheshimiwe
 
hivi nyie mnaoshabikia lissu kufikia korokoloni mnajua madhala yake ?kwanza sidhani vyombo dola makin wanaweza fanya upuuzi kama huo naamini wanajitambua aijalishi mzee anashaurika au la taifa kwanza mengine badae
Mmeanza kupiga poo Mara! Nyie so ndio mnasemaga nchi hii lazima iendeshwe kwa kufuata Sheria na kwamba hakuna mtu aliye juu ya Sheria🤣😂🤣! Sasa hayo huwa mnataka yatekelezwa kwa mbuzi au miti😂🤣😂! We ngoja atue anyone huo mkono wa Sheria ulivyo! Lazima Sheria ifuate mkondo hata Kama rais Ana huruma!
 
Wewe
TRUST labda kama uko misitu ya kongo.

Embu kwanza piga picha ya aliko zaliwa kukoje .

Njooo kwa Tanzania nzima.

Usishangae habari za WAJUMBE zinasambaa kwa kasi na zinatrend kuliko Msiba ..

KWA TAARIFA TU, LABDA MUMKAMATE UWANJANI KESHO.

BILA IVO HAMTAAMINI KITAKACHOTOKEA SIKU YA MSIBA ATAKAPOTEMBELEA, NASEMA HIVI HAMTAAAMINI HAMTAAAMINI NAMNA WAJUMBE WA KITANZANIA WATAKAVYOMSHANGILIA T.LISSU NA KUSAHA MSIBA.

Dola siimejifanya haitaki mkusanyiko, Mimi kesho asubuj naanza safari yakwenda kumpokea.

Mkitukazia sanaaa, Labda mumuweke mahubusu mpaka mmalize mazishe, bila ivo .... TUTAELEWANA TU HAPO MSIBANI WAKATI WAJUMBE WATANZANIA MACHO YAO YATAKAPOMUONA LISSU HUYOOOO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hiyo ndo itakua sherehe rasimi ya Kumpokea Lissu katikati ya watu wenye hudhuni usoni ,nafuraha moyoni sababu wamemuona LISU.

Ewe daktari wetu mbona unachimba biti namna hiyo?!!!!!

Alaaa USHAWAHI UVAA MZIKI WA FFU ule migari meusi bendera nyekundu?!!!!

Acha kabisa mzee ooo iandae ER za kutosha......
 
TRUST labda kama uko misitu ya kongo.

Embu kwanza piga picha ya aliko zaliwa kukoje .

Njooo kwa Tanzania nzima.

Usishangae habari za WAJUMBE zinasambaa kwa kasi na zinatrend kuliko Msiba ..

KWA TAARIFA TU, LABDA MUMKAMATE UWANJANI KESHO.

BILA IVO HAMTAAMINI KITAKACHOTOKEA SIKU YA MSIBA ATAKAPOTEMBELEA, NASEMA HIVI HAMTAAAMINI HAMTAAAMINI NAMNA WAJUMBE WA KITANZANIA WATAKAVYOMSHANGILIA T.LISSU NA KUSAHA MSIBA.

Dola siimejifanya haitaki mkusanyiko, Mimi kesho asubuj naanza safari yakwenda kumpokea.

Mkitukazia sanaaa, Labda mumuweke mahubusu mpaka mmalize mazishe, bila ivo .... TUTAELEWANA TU HAPO MSIBANI WAKATI WAJUMBE WATANZANIA MACHO YAO YATAKAPOMUONA LISSU HUYOOOO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

hiyo ndo itakua sherehe rasimi ya Kumpokea Lissu katikati ya watu wenye hudhuni usoni ,nafuraha moyoni sababu wamemuona LISU.
Ndugu kuwa realistic. Mimi niko kwenye makundi zaidi ya ishirini ya watsup tena ya vijana ambao wengi wao ni graduates, nimepita Instagram na Facebook , watu hawana habari na Lissu, na hata ikitokea taarifa zake zikatumwa kwa magroup, wengi wa watu wanampinga, walau Twitter nimeona watu wakihimizana, japo ni wale wale waliohimiza maandamano ya Mange halafu mwisho wa siku wakaingia mitini. Wengine walikuwa wanahimiza kampeni ya #77NYEUPE halafu mwisho wa siku, wakatokelezea wamevaa rangi zingine. Lissu anachokitegemea kwa Sasa ni huruma ya wananchi. Uchaguzi ni zaidi ya huruma.

Anyway, kwa sasa Lissu kupata Attention labda atokeze Taifa kwenye msiba wa Big Ben, kinyume chake, mchongo wake umebuma.
Wasiwasi wangu, Je, akiamua kuja Taifa, watu wa usalama watamruhusu?
All in all, tunamkaribisha Tanzania, aje tujifukize.
 
Wanajifurahisha Hao......

Ova
 
Huyu Lisu angejua kuna watu wa jinsia ya kiume wanavyomlinda humu angekua proud sana.
 
Too bad, hatopata kiki aliyokuwa anaitegemea.

Habari ya taifa kwa sasa ni Hayati Rais mstaafu Benjamin Mkapa.

Right now Lissu is a footnote.
Kwahiyo bora alivyokufa Ben ili azime Kick ya Lissu??😅😅
 
Sio tu mtandaoni ...

WATU HAWANA MUDA NA MAJONZI.

NAKUMBUKA KWA MZEE JN , WATU MTAANI WALIKUA WANALIA SANA, KILA UNAPOPITA NI HUZUNJ NAWATU KULIA.

saizi hamna mtu wakuliliwa ndani ya ccm , watu wamechoka..

Wanaolia ni wanufaika wa kikundi .
Nimepita mijini na vijinij toka tar 24 hafi leo tar 27 naona watu wanaendelea na shughuli zao wala hawana habari. Habari ni Ujio wa Lissu tu. Si mwanaccm si mwanacgadema kila mtu anauliza tu.
 
Dah nimejawa Na uoga kuhusu uhai wa Tundu lisu,namuonea sana uruma,kisha kuwa mlenavu sio aliyokuwa,Na binaadamu wengine wanafurahia hali yake!!mashindwa hata kuamini kama nipo Na watu wanapotwa watanzania,Ehee mungu mlinde Mtu huyu kwani sioni makosa yake,zaid ya kukosoa pasipo sawa
Amina na Mungu wa Mbinguni ayasikie maombi yako.
 
Back
Top Bottom