Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Too bad, hatopata kiki aliyokuwa anaitegemea.

Habari ya taifa kwa sasa ni Hayati Rais mstaafu Benjamin Mkapa.

Right now Lissu is a footnote.
Msiba umefunikwa hata na habari ya Lissu kurejea [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Dah nimejawa Na uoga kuhusu uhai wa Tundu lisu,namuonea sana uruma,kisha kuwa mlenavu sio aliyokuwa,Na binaadamu wengine wanafurahia hali yake!!mashindwa hata kuamini kama nipo Na watu wanapotwa watanzania,Ehee mungu mlinde Mtu huyu kwani sioni makosa yake,zaid ya kukosoa pasipo sawa
 
Hivi utaratibu wa karantini siku 14 hauwezi kutumika dhidi ya Lissu?

Huko nje si bado kuna corona?
 
Miaka ya nyuma kidogo kulikuwa na kesi baina ya Zitto na CHADEMA. Lissu aliiwakilisha CHADEMA wakati Zitto aliwakilishwa na Albert Msendo. Chadema ilibwagwa kwenye kesi ile.
 
Back
Top Bottom