Hawa jamaa Wana mitandao yao labda. Lissu angevuta vuta siku, huu msiba uishe, walau angepata attention. Lakini kwa watanzania Tuko busy kumsindikiza mzee wetu, Big Ben.
TRUST labda kama uko misitu ya kongo.
Embu kwanza piga picha ya aliko zaliwa kukoje .
Njooo kwa Tanzania nzima.
Usishangae habari za WAJUMBE zinasambaa kwa kasi na zinatrend kuliko Msiba ..
KWA TAARIFA TU, LABDA MUMKAMATE UWANJANI KESHO.
BILA IVO HAMTAAMINI KITAKACHOTOKEA SIKU YA MSIBA ATAKAPOTEMBELEA, NASEMA HIVI HAMTAAAMINI HAMTAAAMINI NAMNA WAJUMBE WA KITANZANIA WATAKAVYOMSHANGILIA T.LISSU NA KUSAHA MSIBA.
Dola siimejifanya haitaki mkusanyiko, Mimi kesho asubuj naanza safari yakwenda kumpokea.
Mkitukazia sanaaa, Labda mumuweke mahubusu mpaka mmalize mazishe, bila ivo .... TUTAELEWANA TU HAPO MSIBANI WAKATI WAJUMBE WATANZANIA MACHO YAO YATAKAPOMUONA LISSU HUYOOOO[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
hiyo ndo itakua sherehe rasimi ya Kumpokea Lissu katikati ya watu wenye hudhuni usoni ,nafuraha moyoni sababu wamemuona LISU.