Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Mnyika kasema akishatua anapitiliza moja kwa moja viwanja vya uhuru kuaga
 
Ni nyeti kwa upinzani pekee.Mbona wasanii wachezaji ulakiwa airport na usikii madhara.Siku zote polisi ndio huwa chanzo cha vurugu zoote nchini kwa kutii maagizo ya wanasiasa chunguza uone.
 
Jukwaani hapa Jamii forum ni sawa

Huku mitandaoni ndio sehemu watu wenye uelewa wa mambo hujipatia taarifa zilizo balanced. Huko nje kwenye vyombo vya habari, watu wanalishwa habari za upande mmoja. Huku mitandaoni ndio tumejua kuwa kwenye kitabu cha Mkapa, kawataja wazazi wake wote kwa majina, na mke wake lakini hajataja jina la hata mtoto wake mmoja!
 
Duh, mkiambiwa Chadema ni SACCOS muwe mnaelewa. Yaani taarifa za kiofisi inatolewa kwa njia ya twiter
Wewe ni ngumbaru. Ofisi ya rais wa Marekani inatumika tweeter kuhabarisha raia wake sembuse CDM!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…