Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Mnyika: Ratiba ya Tundu Lissu kurudi ni ile ile na tarehe 28 atakwenda msibani

Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter
Kwa hiyo, ndo mgeni mashuhuri wa CHADEMA? Yaani anategemewa kupata kura za kutosha kuongoza nchi?
Haya! Tutamwona. Labda atasema ana ajenda gani ya kitaifa zaidi ya kutueleza haki za binadamu na sheria inasema hivi na vile maana sijawahi kusikia akiongelea maendeleo ya nchi.
 
Nimesha andaa bango langu la Mapokezi
Mungu ni mwema
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jiwe atapata tabu sana kwa huyu jamaa,itabidi apate msaada mara mbili wa uchaguzi uliopita bila hivyo jiwe atagaragara jukwaani.
Naakitumia nguvu ya dola basi imekula kwake.
Wajumbe sio watuwazuri.
Aaaa wapi.kuropoka na kutenda ni tofauti.
Lissu ni hodari wa kupayuka ila kwenye utendaji ni Zero.
angekuwa mtendaji wangempa ukatibu au uwenyekiti kwa hadhi aliyonayo huko ufipa.
 
Aaaa wapi.kuropoka na kutenda ni tofauti.
Lissu ni hodari wa kupayuka ila kwenye utendaji ni Zero.
angekuwa mtendaji wangempa ukatibu au uwenyekiti kwa hadhi aliyonayo huko ufipa.
Kila kitu kinamuda wake.kama angetaka angegombea kama urasi aliutaka na amegombea.
 
Kila kitu kinamuda wake.kama angetaka angegombea kama urasi aliutaka na amegombea.
Sio muda bali sema fedha.Kama huna fedha Chadema huna nafasi ya kugombea Urais.labda uwe wa kaskazini.
 
Hayo yamesewa na Mhe. Mnyika kupitia mtandao wa twitter
Salamu zimfikie mzee wa chatto kuwa asiyempenda kaja [emoji23][emoji23][emoji23]
IMG-20200726-WA0024.jpg
 
Duh, mkiambiwa Chadema ni SACCOS muwe mnaelewa. Yaani taarifa za kiofisi inatolewa kwa njia ya twiter
Mkuu kwa Twitter yupo sahihi
Kama angetumia Instagram au Facebook nk nadhani ingeleta ukakasi
 
Yaliwapata segerea na bado hamjifunzi! Pamoja na sehemu nyeti za kiusalama wa taifa airport ni mmojawapo. Kuna sehemu za kufanya mkusanyiko ya mihemko ya kisiasa lakini siyo airport hasa kwa mazingira ya msiba wa kitaifa. Naamini safari hii kipigo siyo tu cha jeshi la police, lakini pia majeshi mengine pia halali yao. Sisi wengeni ni kuonya ili msije mkasema hatukuambiwa. SHAURI YENU.
Acheni kuweweseka bc mkuu...jaribuni kuficha upimbi wenu ... airport ni nyeti ya serikali au nyeti ya yesu wa chatto??
 
Back
Top Bottom