Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Kilichonishangaza ni kutokumuona mh.Mbowe katika hiyo PRESS hata kama si lazima kusema ila Kulikuwa na umuhimu kuutaja UDHURU WA MWENYEKITI WAO...

Hata kama hiyo ijumaa ya tarehe 27 mwenyekiti wao atakuwepo kikaoni....ila ijulikane Kulikuwa na umuhimu wa kutoa SINTOFAHAMU siku hii ya LEO...kwani japo siku 3 mbele si mbali ila KISIASA ni mbali....

Inawezekana MBOWE anawachezesha KADENGE wafuasi wao wa CHADEMA.
 
UVCCM mnajitahidi kweli, mnaanzisha uzi halafu mnaalikana kuchangia. Ina maana hamjasikiliza maelezo ya Mnyika leo, au mnataka chadema wakurupuke kila mmoja kutoa maamuzi ili mpate sababu ya justify uhuni mlioufanya wa kufoji fomu za hao kinamama?
ok, tuseme fomu zilifojiwa na ccm ni wahusika, je hao kina halima waliambiwa ni lazma wakubali kuwa wabunge la sivyo watafunguliwa mashtaka ya kukataa ubunge?
 
We kweli mji...nga sana....yaani unatamani kufa kisa kina Mbowe...DJ..!!
Afu ukute eti una watoto...what a loss.
 
UVCCM mnajitahidi kweli, mnaanzisha uzi halafu mnaalikana kuchangia. Ina maana hamjasikiliza maelezo ya Mnyika leo, au mnataka chadema wakurupuke kila mmoja kutoa maamuzi ili mpate sababu ya justify uhuni mlioufanya wa kufoji fomu za hao kinamama?
Vichwa maji wapo kazini waache.
 
Huna hoja wewe pimbi, acha kujikweza humu.
Maelezo na maswali uliyoandika ni ujinga tu.Katibu Mkuu wa Chadema ametoa maelezo ya kutosha kuhusiana na hilo suala na msimamo wa chama chake.
Sasa hayo maswali uchwara ya nini? Mnavamia jukwaa kishamba.
At least huyu mwanaCDM mwenzako ana akili ya kujua kuwa hatutaki kuambiwa mambo tunayoyajua.
Sisimizi wewe.
 
Katibu na mwenyekiti nani mkubwa? Mwenyekiti ndie mkubwa. Hugo Mnyika hajielewi

Bosi wake kama kapeleka yuko sahihi boss

Siyo swala la ukubwa ni nani amepewa jukumu gani kisheria katika form Na.8D Katibu ndiye anatakiwa kuthibitisha na kuzipeleka tume siyo mwenyekiti. Huyo Mwenyekiti ni mkubwa lakini kwa swala la viti maalum Katibu ndiye anayehusika moja kwa moja
 
Ndio maana chama kimewaita kuhojiwa tarehe 27/11, maswali yako yatajibika siku hiyo
ok, tuseme fomu zilifojiwa na ccm ni wahusika, je hao kina halima waliambiwa ni lazma wakubali kuwa wabunge la sivyo watafunguliwa mashtaka ya kukataa ubunge?
 
Ww itakuwa unaishi ulaya na sio Tanzania

Jina la Rais ajae wa Tanzania kupitia ccm anachagua magufuli kwa taarifa yako

Kama ni kichaguliwa na mataga kama ilivokuwa mwaka huu sikatai wamchague tu hakuna shida yoyote
 

Nilishaacha siku nyingi kuwaamini wanasiasa.
 
Siyo swala la ukubwa ni nani amepewa jukumu gani kisheria katika form Na.8D Katibu ndiye anatakiwa kuthibitisha na kuzipeleka tume siyo mwenyekiti. Huyo Mwenyekiti ni mkubwa lakini kwa swala la viti maalum Katibu ndiye anayehusika moja kwa moja
Kifungu cha sheria please weka
 
Sheria inayosema lazima katibu mkuu ndie aandike barua sio mwenyekiti weka kifungu cha hiyo sheria hapa A-ha porojo

National Elections Act ( Cap 343. R.E.2015) 86A (2) kinasema chama kitapeleka majina ya wanawake wanaostahili kuteuliwa kuwa wabunge wa viti maalum ( wanawake). CHADEMA wamesema hawajafanya hivyo na Mkurugenzi wa NEC alikiri kuwa hajapokea majina hayo kutoka CHADEMA.

86 A (4) Majina yatakayowasilishwa na chama yatakuwa kwa "order of preference".

86 A (6) NEC itatangaza majina ya wabunge walioteuliwa kufuatana na hiyo "Order of Preference". Hili tangazo halikutolewa na NEC.

86 A ( 7) NEC itapeleka notification ya uteuzi huo kwa Spika na Katibu Mkuu wa Chama husika. Sidhani kama NEC walimpelekea Mnyika notification hiyo.

86 A (8) Ikumbukwe kuwa majina yanayopelekwa na Chama husika inatakiwa yawe zaidi ya idadi ya nafasi walizoshinda kwa sababu kama patatokea pengo lolote NEC itateua watu waliomo kwenye orodha hiyo kwa kufuatana na order of preference. Hii maana yake ni kuwa kama kuna mmoja katika hawa atashindwa kuendelea katika nafasi hiyo ( amejiuzulu uanachama, amefukuzwa uanachama, hali yake ya kiafya haimruhusu kuendelea na ubunge au amefariki dunia) yule ambae katika orodha hiyo alikuwa wa 20 ndie atakayeteuliwa.

Tunasema majina yanapelekwa na Katibu Mkuu wa Chama ni kwa sababu communication zote rasmi zinazotoka kwake na sio mtu mwingine. Ni kama vile wizarani barua zote zinatoka kwa Katibu Mkuu na barua zote kwenda wizarani zinaandikwa kwa Katibu Mkuu maana yaye ndie Mtendaji Mkuu na ni Accounting Officer wa Wizara.

Amandla...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…