wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 25,190
- 27,434
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mnajidai viziwi msiosikia, kujidanganya tu.Mbowe hajakanusha kauli ya Mdee. Mnyika naye hajakanusha ushiriki wa Mbowe.
ok, tuseme fomu zilifojiwa na ccm ni wahusika, je hao kina halima waliambiwa ni lazma wakubali kuwa wabunge la sivyo watafunguliwa mashtaka ya kukataa ubunge?UVCCM mnajitahidi kweli, mnaanzisha uzi halafu mnaalikana kuchangia. Ina maana hamjasikiliza maelezo ya Mnyika leo, au mnataka chadema wakurupuke kila mmoja kutoa maamuzi ili mpate sababu ya justify uhuni mlioufanya wa kufoji fomu za hao kinamama?
Ila wanawake wa CCM ndio wanayumba yumba kama walevi na hawaheshimu/hawana misimamo.Nachowakubari wanawake wa CHADEMA huwa hawataki kuyumbishwa kabisaa wanaheshimu mitazamo yao.
MAGUFULI4LIFE.
We kweli mji...nga sana....yaani unatamani kufa kisa kina Mbowe...DJ..!!Wakuu sina mengi ya kusema maana roho yangu i dhaifu kiasi cha kufa.
Jana tulishuhudia uapishwaji wa wabunge viti maalumu was CHADEMA pale Dodoma, moja ya suala la kushitua ni kiongozi wa Wanawake hao kulitangazia bunge na Taifa kwa ujumla kuwa anamshukuru Mwenyekiti Fremon Mbowe kwa kufanikisha jambo hilo.
Hapa ndipo ulipo uasi wa Mbowe.
1. Amemwachia Katibu Mkuu kuzungumzia swala nyeti la uvunjifu wa katiba huku yeye kama kiongozi mkuu wa chama akiwa amejitenga.
2. Ametanjwa na Halima Mdee kama mtoa baraka.
3. Amekuwa kimya tangu suala hili liwe wazi.
Don't trust anybody. Nchi imejaa mamluki kila sehemu.
Vichwa maji wapo kazini waache.UVCCM mnajitahidi kweli, mnaanzisha uzi halafu mnaalikana kuchangia. Ina maana hamjasikiliza maelezo ya Mnyika leo, au mnataka chadema wakurupuke kila mmoja kutoa maamuzi ili mpate sababu ya justify uhuni mlioufanya wa kufoji fomu za hao kinamama?
At least huyu mwanaCDM mwenzako ana akili ya kujua kuwa hatutaki kuambiwa mambo tunayoyajua.Huna hoja wewe pimbi, acha kujikweza humu.
Maelezo na maswali uliyoandika ni ujinga tu.Katibu Mkuu wa Chadema ametoa maelezo ya kutosha kuhusiana na hilo suala na msimamo wa chama chake.
Sasa hayo maswali uchwara ya nini? Mnavamia jukwaa kishamba.
Katibu na mwenyekiti nani mkubwa? Mwenyekiti ndie mkubwa. Hugo Mnyika hajielewi
Bosi wake kama kapeleka yuko sahihi boss
Kama ambavyo JK alichaguliwa na Hayati Mkapa.Ww itakuwa unaishi ulaya na sio Tanzania
Jina la Rais ajae wa Tanzania kupitia ccm anachagua magufuli kwa taarifa yako
Yaani hali ilivyo sasa...uvccm ndo ya kuhangaika kweli? Aaah bro think twice.Kwa sasa Kauli ya Katibu Mkuu ambaye ndiyo mtendaji Mkuu wa chama ndiyo inasimama. UVCCM msijaribu kupotosha mtahangaika sana!!
ok, tuseme fomu zilifojiwa na ccm ni wahusika, je hao kina halima waliambiwa ni lazma wakubali kuwa wabunge la sivyo watafunguliwa mashtaka ya kukataa ubunge?
inategemea na huruma za wahisani ila hao wasaliti wamepelekwa hapo na CCM ili hizo trillion 2 zije.Baada ya hapo tutapata Trilioni 2 zetu au bila bila?
Ww itakuwa unaishi ulaya na sio Tanzania
Jina la Rais ajae wa Tanzania kupitia ccm anachagua magufuli kwa taarifa yako
Wakuu sina mengi ya kusema maana roho yangu i dhaifu kiasi cha kufa.
Jana tulishuhudia uapishwaji wa wabunge viti maalumu was CHADEMA pale Dodoma, moja ya suala la kushitua ni kiongozi wa Wanawake hao kulitangazia bunge na Taifa kwa ujumla kuwa anamshukuru Mwenyekiti Fremon Mbowe kwa kufanikisha jambo hilo.
Hapa ndipo ulipo uasi wa Mbowe.
1. Amemwachia Katibu Mkuu kuzungumzia swala nyeti la uvunjifu wa katiba huku yeye kama kiongozi mkuu wa chama akiwa amejitenga.
2. Ametanjwa na Halima Mdee kama mtoa baraka.
3. Amekuwa kimya tangu suala hili liwe wazi.
Don't trust anybody. Nchi imejaa mamluki kila sehemu.
Wahisani wana taarifa za hao wasaliti?inategemea na huruma za wahisani ila hao wasaliti wamepelekwa hapo na CCM ili hizo trillion 2 zije.
Kifungu cha sheria please wekaSiyo swala la ukubwa ni nani amepewa jukumu gani kisheria katika form Na.8D Katibu ndiye anatakiwa kuthibitisha na kuzipeleka tume siyo mwenyekiti. Huyo Mwenyekiti ni mkubwa lakini kwa swala la viti maalum Katibu ndiye anayehusika moja kwa moja
Sheria inayosema lazima katibu mkuu ndie aandike barua sio mwenyekiti weka kifungu cha hiyo sheria hapa A-ha porojo