Mambo magumu sana hayaKuna nguvu anayo DPP inaitwa nolle proseque hii inampa DPP uwezo wa kufuta kesi mahakama au kujitoa kutoendelea na mashataka..
Ndo imetumika hapa na Dola
Sio kila mtu ni mwanachama wengine ni raia tu tunaoshangaa yanayotokeaTatizo lenu ni badala yakujadili ombwe la uongozi lililopo ndani ya chama chenu, mnahangaika kuhamisha hoja kwa upuuzi.
wa na values. Ole Milya na Msando wanayo bei yao tena wao si kusoma sheria tu ni mawakili na ni wanaume ndio iwe hicho unachokisemaUnauhakika na unachoandika?? Wewe unadhani mwanasheria kama Halima Mdee anaweza kuvunja taratibu kwa jinsi mnavyo bwabwaja.Subiri 27/11 ndiyo utashangaa kwamba jambo lina baraka zoooote za chama.
Pasua kichwa kabisaMambo magumu sana haya
Jiwe anaakili ndogo Sana anafikiri ndio watampa fedha kwa hizi sarakasi anazifanya za akina Halima Mdee na genge lake .watajuaje sasa?
Kweli umeishaUchaguzi umeisha!!!!!
Ndio maana chama kimewaita kuhojiwa tarehe 27/11, maswali yako yatajibika siku hiyo
Mtaelewana tu
Ngamia nyie 😂😂😂
Sheria, sheria, sheriaKuna nguvu anayo DPP inaitwa nolle proseque hii inampa DPP uwezo wa kufuta kesi mahakama au kujitoa kutoendelea na mashataka..
Ndo imetumika hapa na Dola
Makosa mliyoyafanya yanawafanya muhangaike kila siku na Chadema yetu karata zenu hamkucheza vizuriUchaguzi umeisha!!!!!
Unahitaji kifungu cha sheria au... kinachosema kuhusu hiliSheria, sheria, sheria
Economic sanctions ikija tutaongea lugha moja kibwengo wewe...kawaulize ZimbabweKufa hamfi ila cha moto mtakiona
Unaelewa kuwa kisheria chama hakiwezi kuteua wala kupeleka jina NEC la viti maalum la mtu ambae yupo jela? Unaelewa kuwa leo kesi ya kina Nusrat imeitwa Jaji akabaki anashangaa maana hakuona watuhumiwa wala mawakili wa pande zote mbili?Tatizo lenu ni badala yakujadili ombwe la uongozi lililopo ndani ya chama chenu, mnahangaika kuhamisha hoja kwa upuuzi.
Makosa mliyoyafanya yanawafanya Muhangaike kila siku na Chadema yetu karata zenu hamkucheza vizuri
ona sasa Mnafanya uhuni live bila chenga kuwapata Viti maalumu...🤭
Hii CCM ya sasa hicho haijaliAnatimiza vipi wajibu wake wa kikatiba wakati Katibu Mkuu ndiye anabidi apeleke majina, sasa kama hajayapeleka hao wametoka wapi? Ina maana basi mtu yoyote anaweza kujitokeza na kundi lake wakasema wametumwa na chama wakaapishwa? Huu ni uvunjifu mkubwa wa sheria.
Kweli wazazi waliuza ng'ombe ili wapeleke ng'ombe Shule. Hivi wewe huoni kinyaa serikali nzima inashiriki uhalifu wa kugusbi nyaraka na kudanganya umma?Jazba hazitawasaidia...jiunge na washindi...unga mkono juhudi...maendeleo hayana vyama...Mdee na wenzake wameenda bungeni na watakula kuku...Kibaraka Lissu amekwenda ulaya...wapiga kelele mitandaoni wameachwa solemba...