Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Watu wengi hamuoni kosa kubwa alilofanya Halima Mdee ni kusema wana baraka za Mwamba na kama ijumaa Mwamba akiwa mpole tumeshindwa kupambana na majeshi ila wewe utang’oka hata kama chama cha baba mkwe wako
 
Tatizo lenu ni badala yakujadili ombwe la uongozi lililopo ndani ya chama chenu, mnahangaika kuhamisha hoja kwa upuuzi.
Sio kila mtu ni mwanachama wengine ni raia tu tunaoshangaa yanayotokea
 
Sheria nini ndugu bila k
Unauhakika na unachoandika?? Wewe unadhani mwanasheria kama Halima Mdee anaweza kuvunja taratibu kwa jinsi mnavyo bwabwaja.Subiri 27/11 ndiyo utashangaa kwamba jambo lina baraka zoooote za chama.
wa na values. Ole Milya na Msando wanayo bei yao tena wao si kusoma sheria tu ni mawakili na ni wanaume ndio iwe hicho unachokisema
 
Hama kitu hapo, utakuja kuniambia ngoja tusubiri. Nnachoamini Tanzania ina watu wachache sana ambao unaweza kuwaita WAPINZANI, ila wengi wao wanaangalia matumbo yao kwanza, mbaya zaidi na hao wachache ambao wako Real wanakatishwa tamaa na wengi wasio na msimamo mwisho wa siku na wao wanachoka wanaamua kukaa pembeni
Ndio maana chama kimewaita kuhojiwa tarehe 27/11, maswali yako yatajibika siku hiyo
 
Uchaguzi umeisha!!!!!
Makosa mliyoyafanya yanawafanya muhangaike kila siku na Chadema yetu karata zenu hamkucheza vizuri
Ona sasa mnafanya uhuni live bila chenga kuwapata Viti maalumu...🤭
 
Kwani ukisubiri mpaka ijumaa CC itkapoketi chini ya Uenyekiti wa Mbowe utapungukiwa nn?
 
Tatizo lenu ni badala yakujadili ombwe la uongozi lililopo ndani ya chama chenu, mnahangaika kuhamisha hoja kwa upuuzi.
Unaelewa kuwa kisheria chama hakiwezi kuteua wala kupeleka jina NEC la viti maalum la mtu ambae yupo jela? Unaelewa kuwa leo kesi ya kina Nusrat imeitwa Jaji akabaki anashangaa maana hakuona watuhumiwa wala mawakili wa pande zote mbili?

Unaelewa kuwa DPP hawezi kufuta kesi ya mtu bila ya kuiarifu mahakama? Unaelewa kuwa yote haya ni uvunjifu wa sheria? Unaelewa kuwa ni haki yetu sisi wananchi kuhoji uvunjifu mkubwa wa sheria unaoendelea kufanywa na serekali dhalimu ya CCM?
 
Makosa mliyoyafanya yanawafanya Muhangaike kila siku na Chadema yetu karata zenu hamkucheza vizuri
ona sasa Mnafanya uhuni live bila chenga kuwapata Viti maalumu...🤭

Wanawake wenu wameamua wenyewe kuunga mkono juhudi za Rais mkuu
Kwani huo uhuni umefanyika wapi na nani?
 
Anatimiza vipi wajibu wake wa kikatiba wakati Katibu Mkuu ndiye anabidi apeleke majina, sasa kama hajayapeleka hao wametoka wapi? Ina maana basi mtu yoyote anaweza kujitokeza na kundi lake wakasema wametumwa na chama wakaapishwa? Huu ni uvunjifu mkubwa wa sheria.
Hii CCM ya sasa hicho haijali
 
Kama tunakumbuka msimamo wa Chadema ni kutotambua matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu na walisema hawatateua wabunge wa viti maalumu
sasa ukiangalia kwa jicho la mbali utagundua mambo mengi mfano;
  • Chadema wanatambua kabisa hawawezi kuteua viti maalumu kwa kuwa kwakufanya hivyo watakuwa wanakula matapishi yao na pia itaonekana wamekubaliana na uchaguzi kuwa ulikuwa huru na haki
  • Chadema wanatambua kabisa ukata unawanyemelea kama watasusia kupeleka hao viti maalumu. sasa wanakwepa vipi hayo mambo mawili? nionavyo mimi haiwezekani kina Halima Mdee na wenzake waende bila ruhusa ya chama narudia HAIWEZEKANIII. Wanatumia hii saga na baadae watawasamehe mambo yataisha, ruzuku itaingia mchezo kwishneiii
 
Jazba hazitawasaidia...jiunge na washindi...unga mkono juhudi...maendeleo hayana vyama...Mdee na wenzake wameenda bungeni na watakula kuku...Kibaraka Lissu amekwenda ulaya...wapiga kelele mitandaoni wameachwa solemba...
Kweli wazazi waliuza ng'ombe ili wapeleke ng'ombe Shule. Hivi wewe huoni kinyaa serikali nzima inashiriki uhalifu wa kugusbi nyaraka na kudanganya umma?
Yote haya juu ya nini?
 
Back
Top Bottom