Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Halima Mdee siyo sawa na Zitto Kabwe, hafukuzwi mtu!
Asipofukuzwa wajue chadema inafariki mara moja kwani sasa ipo ICU hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia chadema kwenye upumbavu wa kiasi hicho
 
Dawa ni moja tu wafukuzwe chadema na endapo chadema haitawafukuza wajue chadema inaenda kufariki moja kwa moja kwani hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia chadema yenye upumbavu wa kiwango hicho
 
Makosa gani.Hivi nyie chadema mngeibiwa kura mngeshindwa kwenda mahakamani. Acheni kujifariji
Twende Mahakama gani na kufanya nini...
yan kesi ya gendele tumpelekee Tumbili kwel?🤭
 
uamuzi ulio fikiwa na chama cha Mbowe ni uamuzi sahihi kabisa wenye nia ya kujenga nchi yetu, hakuna haja ya kuwekeana chuki sisi sote ni watanzania na Tanzania ni ya kwetu.....maendeleo hayana chama.

Hongera Mbowe hongera Mdee kwa maamuzi sahihi kwa maslahi mapana ya nchi yetu,
wanachadema wote tunawaunga mkono kwa maamuzi mliyoyafanya.
 
Dawa ni moja tu wafukuzwe chadema na endapo chadema haitawafukuza wajue chadema inaenda kufariki moja kwa moja kwani hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia chadema yenye upumbavu wa kiwango hicho
Hata mimi ndilo naloona, kama wengine wote huko nyuma kama akina Zitto walifukuzwa, kama huu uasi tena wa kiwango cha juu wasipowafukuza hawa basi kwakweli ni doa kubwa.
 
siasa za aina hii figisua pindua vurugua kongodoa zinafuharisha sana yaani najisikia burudaaaani
 
Nakumbuka kuna kipindi mbowe aliwahi kuligusia Hili.Ziko mbinu nyingi za kupambana na CHADEMA,ila siyo kwa hivi vioja. Wanaopanga hii mipango ni buree kabisa.
 
Haya maswali ya kawaida sana na yashajibiwa kwenye hoja zao
 
bungeni marufuku kuvaa sare za chama, huwezi kuapishwa ubunge na sare za chama
 
Its a matter of time kila kitu kitakuwa hadharani mbivu na mbichi
 
Hata mimi ndilo naloona, kama wengine wote huko nyuma kama akina Zitto walifukuzwa, kama huu uasi tena wa kiwango cha juu wasipowafukuza hawa basi kwakweli ni doa kubwa.
Bila kuwafukuza hao chadema inakufa kifo kibudu na kuonekana ni chama cha hovyo mno
 
Mm nachokiona hapa hawa wanawake wameamua kulipa kisasi cha Lowasa kupewa idhini ya kugombea urais 2015.
Sasa watu kama Halima na Ester kukubali kuwa wabunge wa vit maalum na chama kusilitambue hili swala daaaah.
Ss n watizamaji tuu ngoja tuone nan hatakufa mwisho wa movie..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…