Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Halima Mdee siyo sawa na Zitto Kabwe, hafukuzwi mtu!
Asipofukuzwa wajue chadema inafariki mara moja kwani sasa ipo ICU hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia chadema kwenye upumbavu wa kiasi hicho
 
Anatimiza vipi wajibu wake wa kikatiba wakati Katibu Mkuu ndiye anabidi apeleke majina, sasa kama hajayapeleka hao wametoka wapi? Ina maana basi mtu yoyote anaweza kujitokeza na kundi lake wakasema wametumwa na chama wakaapishwa? Huu ni uvunjifu mkubwa wa sheria.
Dawa ni moja tu wafukuzwe chadema na endapo chadema haitawafukuza wajue chadema inaenda kufariki moja kwa moja kwani hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia chadema yenye upumbavu wa kiwango hicho
 
Makosa gani.Hivi nyie chadema mngeibiwa kura mngeshindwa kwenda mahakamani. Acheni kujifariji
Twende Mahakama gani na kufanya nini...
yan kesi ya gendele tumpelekee Tumbili kwel?🤭
 
uamuzi ulio fikiwa na chama cha Mbowe ni uamuzi sahihi kabisa wenye nia ya kujenga nchi yetu, hakuna haja ya kuwekeana chuki sisi sote ni watanzania na Tanzania ni ya kwetu.....maendeleo hayana chama.

Hongera Mbowe hongera Mdee kwa maamuzi sahihi kwa maslahi mapana ya nchi yetu,
wanachadema wote tunawaunga mkono kwa maamuzi mliyoyafanya.
 
Dawa ni moja tu wafukuzwe chadema na endapo chadema haitawafukuza wajue chadema inaenda kufariki moja kwa moja kwani hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu atasalia chadema yenye upumbavu wa kiwango hicho
Hata mimi ndilo naloona, kama wengine wote huko nyuma kama akina Zitto walifukuzwa, kama huu uasi tena wa kiwango cha juu wasipowafukuza hawa basi kwakweli ni doa kubwa.
 
siasa za aina hii figisua pindua vurugua kongodoa zinafuharisha sana yaani najisikia burudaaaani
 
Nakumbuka kuna kipindi mbowe aliwahi kuligusia Hili.Ziko mbinu nyingi za kupambana na CHADEMA,ila siyo kwa hivi vioja. Wanaopanga hii mipango ni buree kabisa.
 
Maswali yafuatayo yanapaswa kujibiwa na Mbowe/ Mnyika:

1. Nani amepeleka Orodha ya Majina ya Wabunge wa Viti Maalum NEC?
2. Orodha hiyo imepelekwa kwa njia gani?
3. Kama msimamo wa chama na wa Katibu Mkuu ni kuwa Orodha haikupelekwa, walioapishwa jana walipatikanaje?
4. Hatua gani zinachukuliwa na CHADEMA ikiwa usaliti umetokea?
5. Ilikuwaje Nusrat Hanje aachiwe tu kutoka mahabusu na asubuhi yake aapishwe kuwa Mbunge wa Viti Maalum?
6. Nani yuko nyuma ya suitafahamu hii nzima ndani ya CHADEMA na anashughulikiwaje?
Haya maswali ya kawaida sana na yashajibiwa kwenye hoja zao
 
Kulikuwa hamna umuhimu wa wao kufanya hivyo. Kitu cha kujiuliza ni kuwa kama kweli walipata baraka za chama chao kwa nini walienda peke yao kwa kujificha? Kwa nini wavaa magwanda maarufu kama wakina Halima, Esther wawili hawakuvaa nguo yeyote ya chama chao kuonyesha kuwa wanajivunia kuteuliwa na chama chao? Katika watu 19 ni watatu tu ndio waliovaa kitu kinachofanana na vazi rasmi la chama chao. Wengine waliona aibu kufanya hivyo.

Amandla...
bungeni marufuku kuvaa sare za chama, huwezi kuapishwa ubunge na sare za chama
 
Its a matter of time kila kitu kitakuwa hadharani mbivu na mbichi
 
Hata mimi ndilo naloona, kama wengine wote huko nyuma kama akina Zitto walifukuzwa, kama huu uasi tena wa kiwango cha juu wasipowafukuza hawa basi kwakweli ni doa kubwa.
Bila kuwafukuza hao chadema inakufa kifo kibudu na kuonekana ni chama cha hovyo mno
 
Mm nachokiona hapa hawa wanawake wameamua kulipa kisasi cha Lowasa kupewa idhini ya kugombea urais 2015.
Sasa watu kama Halima na Ester kukubali kuwa wabunge wa vit maalum na chama kusilitambue hili swala daaaah.
Ss n watizamaji tuu ngoja tuone nan hatakufa mwisho wa movie..
 
Back
Top Bottom