minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
CCM inaendesha Nchi kishamba na kishetani mnoWhy kama mlijua hana makosa, mkamtesa kwa kumuweka rumande muda wote huo halafu mnakuja kumpa rushwa ya kumpa viti maalum ili kumfunga mdomo, kinyume na taratibu za chama chake..?? Corrupt system