Familia tofauti huwez fananishaKwa hiyo wewe hata familia yako unaiendesha kwa mtindo wa STK ie Sheria, Taratibu na Kanuni tu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Familia tofauti huwez fananishaKwa hiyo wewe hata familia yako unaiendesha kwa mtindo wa STK ie Sheria, Taratibu na Kanuni tu?
Nani amesikia sauti mkuu😂😂😂😂Ufunuo wa Yohana 18:4
Kisha nikasikia sauti nyingine kutoka mbinguni, ikisema, Tokeni kwake, enyi watu wangu, msishiriki dhambi zake, wala msipokee mapigo yake.
Na pia Nikukumbushe kipind cha mfalme dario alitunga sheria ila Daniel Mtu wa Mungu alikaidi hiyo sheria
Nataka kisikia maneno mawili,,,,wamefutwa uanachama
Watakuwa wanatambulika kama wabunge wa chama gani,au ndo tutakuwa tunaitangazia dunia kwamba sisi ni wajinga tusioweza Kufuata sheria wala taratibu tulizojiwekea wenyewe.na tukishajitangazia hivyo nani mwekezaji mwenye akili yake atakuja kuwekeza kwenye nchi ambayo mfumo wa sheria umeparaganyika? Unless kama tumeamua kuwa kama zimbabweHakuna mtu Anabishana na Serikali au anataka kuikomoa serikali na akafanikiwa
Wale wabunge wote wataendelea kwenda bungeni kama kawaida kwa miaka yote 5 na baada ya hapo watakuwa wameshajipanga kuishi bila chadema
Na mwisho wa siku 2025 chadema haitopata hata diwan mmoja
We jiulize Tu Kwa nin Lissu alifight alone kwenye kampeni ?? Mnyika, Mbowe na hata Nyalandu hakuna aliyeonekana , something is wrongIjumaa sio mbali mbona anajiuma uma kuhusu hatua za kuchukua.
Walau tumejua sio msimamo wa viongozi wote huko juu kususia bunge wamegawanyika Mnyika mwenyewe amekiri. Si ajabu watu wakaona waende na mtindo wao bila ya ku implicate uongozi (ila kwa baraka za nyuma ya pazia).
Either way kama kuna mgawanyiko jinsi ya kwenda mbele baadhi ya viongozi wa juu ndani ya CDM harakati za Lissu zishawachosha.
Funika kombe mwanaharamu apite.
Plagiarism ni kitu kibaya sana! Unapotumia maneno ya mtu ni vizuri uka declare!JOHN MNYIKA AMEMNTANTALIZE TUNDU LISSU.
Leo 22:05 hrs 25/11/2020
Nianze kwa kusema kuwa Tundu Lissu siyo mwanasiasa makini bali ni mwanaharakati mropokaji tu! Chadema hawawezi kamwe kuendelea na mtu kama Tundu Lissu,huwezi kuwa unatoa matamko yako binafsi halafu unataka yawe ndo msimamo wa Chadema!?...
Mkuu Una uhakika lakini na unachosema , Bora upige kimya tuu....hakuna chama paleeTumia akili yako hata kidogo basi. Umeambiwa utaratibu wa chama haukufuatwa kama ndivyo uhalali huo unataka wapi? Hapa ni ile haki ya kusikilizwa ndio inayofuatwa tu...
JOHN MNYIKA AMEMNTANTALIZE TUNDU LISSU.
Leo 22:05 hrs 25/11/2020
Nianze kwa kusema kuwa Tundu Lissu siyo mwanasiasa makini bali ni mwanaharakati mropokaji tu! Chadema hawawezi kamwe kuendelea na mtu kama Tundu Lissu,huwezi kuwa unatoa matamko yako binafsi halafu unataka yawe ndo msimamo wa Chadema!?...
Kwani aliyetolewa mahabusu ni yeye pekee yake?
"Hivi viti siyo vya hisani" by Halima Mdee!
Pinguzeni wivu, mbona mwenye chama katulia tu
Kama tunakumbuka msimamo wa Chadema ni kutotambua matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu na walisema hawatateua wabunge wa viti maalumu sasa ukiangalia kwa jicho la mbali utagundua mambo mengi mfano....
CHADEMA jamani ni watu wa ajabu mnooo
Watu wake zao wameapishwa Jana lakini wakiwa live hapa wanajidai wamehujumiwa[emoji16][emoji16][emoji16] Hivi kweli mke anavaa kwenda Kula kiapo bila makubaliano na mume?!
Wabunge wa mahakamaniWatakuwa wanatambulika kama wabunge wa chama gani,au ndo tutakuwa tunaitangazia dunia kwamba sisi ni wajinga tusioweza Kufuata sheria wala taratibu tulizojiwekea wenyewe.na tukishajitangazia hivyo nani mwekezaji mwenye akili yake atakuja kuwekeza kwenye nchi ambayo mfumo wa sheria umeparaganyika? Unless kama tumeamua kuwa kama zimbabwe
Unamaanisha Mbowe na Mnyika sio kitu kimoja kikazi?.Mkuu Missile of the Nation hadi leo sijui unaamini nini zaidi ya lawama tu, km huamini Tume ya Uchaguzi, ushindi halali wa CCM, utawala wa sheria, maendeleo yaliyopatikana, nk lakini unamwamini M/Kiti wa chama mlevi kupindukia. Sakata la wabunge wateule kuidhinishwa na yeye kinyume cha Katiba ya chama ni ushahidi wa utawala wa kidikteta ndani ya chama.
Kama kweli wewe ni mtu makini ni vyema ukachunguza na kutathmini kinachoendelea kwenye hicho chama chako. Toa boriti jichoni mwako kwanza
Kwani yeye ni nani ndani ya chama, hakuna Alie juu ya chamaHalima Mdee siyo sawa na Zitto Kabwe, hafukuzwi mtu!
Wabunge hawajafungua kesi kwasababu utawala umeiweka mfukoni judiciary system pia parliamentary system. Ni utawala wa kid hakimu.Tuachane na hiyo dhana ya ccm kupora ushindi kwani hadi sasa hakuna hata mgombea ubunge ye yote aliyeshindwa katika uchaguzi huo aliyefungua kesi mahakama kuu kulalamikia kuporwa kura zake.
Turudi kwenye mada. Tushauri kamati kuu ya cdm ili maamuzi watakayoyatoa hiyo kesho kutwa yawe ya busara na hekima wakimtanguliza Mwenyezi Mungu!
Sisi tunaopinga mamlaka...kama ulivyosemaNani amesikia sauti mkuu😂😂😂😂
To some Chadema is always wrong and CCM with it's collaborators is always wright.Yy alidaligate kwa Mdee na mdee akampa msaidizi wake kwa Ile list ya kwanza sio hii ya juzi
Mnyika anaweza kuhisi kuwa signature yake imegushiwa but sio kweli, zile form nimeziona Ile sehemu ya Mnyika kujaza iko wazi