Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Nani amesikia sauti mkuu😂😂😂😂
 
Watakuwa wanatambulika kama wabunge wa chama gani,au ndo tutakuwa tunaitangazia dunia kwamba sisi ni wajinga tusioweza Kufuata sheria wala taratibu tulizojiwekea wenyewe.na tukishajitangazia hivyo nani mwekezaji mwenye akili yake atakuja kuwekeza kwenye nchi ambayo mfumo wa sheria umeparaganyika? Unless kama tumeamua kuwa kama zimbabwe
 
Nchi hii chadema wameshindwa kutengeneza mamluki lakini nchi hii unaenda kuibuka upinzani kwa njia nyingine kabisa upinzani hauwezi kufa hata kama chadema ikifa
 
We jiulize Tu Kwa nin Lissu alifight alone kwenye kampeni ?? Mnyika, Mbowe na hata Nyalandu hakuna aliyeonekana , something is wrong
 
Mfalme alishasema nafasi zimejaa habadili watabaki wale wale namba ya nini sasa?
 
Plagiarism ni kitu kibaya sana! Unapotumia maneno ya mtu ni vizuri uka declare!

Kitu ulichofanya kiliwahi kumgharimu Joe Biden alipotaka Urais miaka ya nyuma!

Sasa nimeshangaa sentensi zangu nilizotumia kama Mnyika kum- tantalize Tundu Lissu umeamua kuzifanya ndo heading ya thread yako na hata sentensi za mwanzo kabisa umeni- copy kabisa na huja- declare ! This is unfair at all!

Halafu unatupia guo lako la kijani na namba ya simu uonekane knowledgeable ! Shame on you Leslie Mbena!

Vijana wengi wa CCM ni useless, hamsomi ni watu wa kuungaunga ili muonekane kwa watu but you are too myopic!

Wewe Leslie Mbena nadhani hata hiyo vocabulary niliyotumia ya tantalize ulikuwa hujui hata maana yake!

Acha hizo ni ushamba unaokusumbua synthesize vitu vyako siyo KUDESA mambo ya watu halafu unajifanya we we ndo ume- create ! Mediocre kama wewe hatuwataki!

Nimekudharau sana na li nguo la kutafutia Uteuzi Nyambafu!
Ni mimi Fumadilu Kalimanzila
 
Tumia akili yako hata kidogo basi. Umeambiwa utaratibu wa chama haukufuatwa kama ndivyo uhalali huo unataka wapi? Hapa ni ile haki ya kusikilizwa ndio inayofuatwa tu...
Mkuu Una uhakika lakini na unachosema , Bora upige kimya tuu....hakuna chama palee
 

Wewe ndiye mmoja wapo wa wale waliovutuga uchaguzi Mkuu ndo maana mnajisifia ujinga mnalipwa mishahara ya kodi ya wananchi mfanye kazi kwa weledi mnaingiza siasa, wengine matumbo yenu yanashida sana,

Hivi umewahi hata kujiuliza kuwa Nyerere alishinda vishawishi vingapi na nyie hakuna chochote mnachopata zaidi ya kudharaulika.

Hivi Mnyika anaingiaje kwenye huo uchafuzi uliofanyika, mtuhumiwa yuko mahabusu halafu anakwenda kuapishwa kuwa mbunge bila hata kujaza form Na 8D na kuapa mbele ya hakimu kama sheria inavotaka.

Mnaona watanzania ni wajinga sana wa kuwaanzishia hayo maandiko ya kupotosha ukweli ili wawaona mnaakili. Hivi lini DPP anaweza kumfutia shitaka mtuhumiwa bila kumuhusisha hakimu anayehusika na hiyo kesi. Huo usiku alivotolewa huyo mtuhumiwa ili aende kuapa alikuwepo hakimu huko mahabusu.

Sheria ambazo mmeapa kuzilinda ndizo mnazikanyagabkwa kuhangaika na CDM. Kwa taarifa yenu CDM ni chama kikubwa hamtakiweza sanasana mnazidi kukipaisha zaidi.

Na hayo mauchafu hata jumuhiya za kimataifa zitayajuwa tu nyie si munahangaika na wenyeviti wa PAC na sijui LART. Mwaka huu mnahangaika sana huku mnaiba kura wapinzani wasirudi bungeni mnagundua mmechemka mnaanza kuwanunua waje bungeni wale mliowaibia kula kwenye uchaguzi.

Haya mambo ya aibu sana.
 
Kwani aliyetolewa mahabusu ni yeye pekee yake?
"Hivi viti siyo vya hisani" by Halima Mdee!
Pinguzeni wivu, mbona mwenye chama katulia tu

Ndiyo atolewe saa 8 usiku hivi hata mtu mjinga si anajuwa hapo kuna shida DPP anatakiwa kuwasilina na hakimu kama hana nia ya kuendelea na kesi na siyo kwenda mahabusu kwa mtuhumiwa. Hizi mamlaka zina shida kubwa sana
 
Kama tunakumbuka msimamo wa Chadema ni kutotambua matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu na walisema hawatateua wabunge wa viti maalumu sasa ukiangalia kwa jicho la mbali utagundua mambo mengi mfano....

Kwahiyo CHADEMA ndo wameweza kumfutia kesi mtuhumiwa na kwenda kumuapisha. Mbona mnahangaika sana nini shida mnadhania kuna watu mtawahadaa na huo uwongo wenu. Ni CHADEMA ndo wamemuapisha mtu aliyekuwa mahabusu hakuweza hata kujaza form Na. 8D na hakuweza kuapa mbele ya hakimu hayo mauzauza yote ni ya CHADEMA
 
Kama tuna wabunge hewa basi wale wafanyakazi waliofukuzwa kwa tuhuma za kuwa wafanyakazi hewa basi woooote warudishwe kazini mara moja
 
CHADEMA jamani ni watu wa ajabu mnooo
Watu wake zao wameapishwa Jana lakini wakiwa live hapa wanajidai wamehujumiwa[emoji16][emoji16][emoji16] Hivi kweli mke anavaa kwenda Kula kiapo bila makubaliano na mume?!

Wewe unaijuwa system ilivyo hivi MO Dewji alipotekwa umeshawahi kusikia ameongea chochote unadhania ni kwanini wale ni kama mateka wameambiwa wafanye vile. Hivi hujiulizi CHADEMA wanaweza kumfutia mtu kesi na kumtoa mahabusu usiku wa saa 8 bila hata kesi hiyo kusikilizwa mbele hakimu kama ulivyo utaratibu
 
Wabunge wa mahakamani
 
Unamaanisha Mbowe na Mnyika sio kitu kimoja kikazi?.
 
Wabunge hawajafungua kesi kwasababu utawala umeiweka mfukoni judiciary system pia parliamentary system. Ni utawala wa kid hakimu.

Maamuzi yatakayoafikiwa kesho ni sehemu ya sauti ya wananchi. Busara haina maana tena katika uongozi wa Tanzania.
 
Yy alidaligate kwa Mdee na mdee akampa msaidizi wake kwa Ile list ya kwanza sio hii ya juzi

Mnyika anaweza kuhisi kuwa signature yake imegushiwa but sio kweli, zile form nimeziona Ile sehemu ya Mnyika kujaza iko wazi
To some Chadema is always wrong and CCM with it's collaborators is always wright.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…