Mla Bata
JF-Expert Member
- Jan 24, 2013
- 7,841
- 17,491
Hahahaaaa....... Halima ndio Cebisa au Morongwa?!!!
Morongwa kabisa 😅, na Pank lake lile.
Let's meet at the top, cheers 🍻
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaa....... Halima ndio Cebisa au Morongwa?!!!
Kumbuka pia Zito karudi CCM (ACT - WAZALENDO) kupitia mlango wa nyumanju!Chadema ndio chama cha Siasa kinachoongoza Barani Africa kwa viongozi wake wakuu kusaliti misimamo na maazimio ya Chama chao!
50% ya Wagombea wao wa Urais wamerudi CCM...
Quorum haitatimia so hakuna maamuziKamati kuu ya Chadema leo itakuwa na kikao maalumu kwa ajili ya kuwahoji wabunge 19 wa viti maalumu kupitia chama hicho walioapishwa jijini Dodoma wiki hii...
Tuna katiba mbovu sn mkuu hivyo inachezewa wanavyotakaSiasa za Tanzania zinachosha sana kwa USANII.Tume Haijapokea Majina toka Chadema,Bunge limepokea Majina sijui kutoka Wapi Chadema haijapeleka Majina Tume,SPIKA Anawaapisha Wabunge VITI MAALUM kweli SIASA za TANZANIA ni USANII Mtupu.
Nimeipenda hii!!Usipoteze nguvu zako bure chini ya jua mengi ni ubatili.Samehe kunywa maji maisha yaendelee.
Na hivi wamejiwekea KINGA ndio Matokeo yake hayaTuna katiba mbovu sn mkuu hivyo inachezewa wanavyotaka
Walijua mapema snNa hivi wamejiwekea KINGA ndio Matokeo yake haya
Mkuu umeandika point tupuUsaliti ni kirusi hatari sana
Once a traitor always a traitor
Watu wana ujasiri wa kula njama kuipoka kamati kuu mamlaka yake hawa si wanaweza kuuza chama kabisa hawa wakipewa mlungula?....
Ni biashara ya utumwaSiasa za Tanzania zinachosha sana kwa USANII.Tume Haijapokea Majina toka Chadema,Bunge limepokea Majina sijui kutoka Wapi Chadema haijapeleka Majina Tume,SPIKA Anawaapisha Wabunge VITI MAALUM kweli SIASA za TANZANIA ni USANII Mtupu.
Your inside is wishing them hell.Kamati kuu ya Chadema leo itakuwa na kikao maalumu kwa ajili ya kuwahoji wabunge 19 wa viti maalumu kupitia chama hicho walioapishwa jijini Dodoma wiki hii....