Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Chadema ndio chama cha Siasa kinachoongoza Barani Africa kwa viongozi wake wakuu kusaliti misimamo na maazimio ya Chama chao!

50% ya Wagombea wao wa Urais wamerudi CCM

Makatibu wakuu wote waliowahi kushika nyadhifa hizo wamerudi CCM i.e Kabourouh, Slaa na Mashinji

Wabunge na wajumbe wa kamati kuu kadhaa wote wamerudi CCM

Mwenyekiti wa Vijana Taifa karudi CCM
Na Sasa Mwenyekiti wa Wanawake anakwaruzana na Mabeberu ya Chama hicho

Chadema watafute chanzo cha Viongozi wake kuamini katika vyeo badala ya Itikadi
 
Niwakumbushe kitu kuwa hakuna mwanachadema aliyewahi kuikosea Chadema halafu akashindana na Chadema akashinda.
 
Tusubiri tuone maamuzi yatakayoamuliwa yatatoa picha gani.
 
Siasa za Tanzania zinachosha sana kwa USANII.Tume Haijapokea Majina toka Chadema,Bunge limepokea Majina sijui kutoka Wapi Chadema haijapeleka Majina Tume,SPIKA Anawaapisha Wabunge VITI MAALUM kweli SIASA za TANZANIA ni USANII Mtupu.
 
Leo wanasiasa wanaopambaniwa kama lulu na watawala wasingekuwa kitu kama tusingewatoa gerezani, hudhuria kwa maelfu mikutano yao na kuwapa imani kubwa ya kura!

Ila leo wanadai hatuwasapoti! Eti hatuko tayari! Eti chama kinahitaji ruzuku!

Nendeni tuanze upya!
 
Usipoteze nguvu zako bure chini ya jua mengi ni ubatili.Samehe kunywa maji maisha yaendelee.
 
Chadema ndio chama cha Siasa kinachoongoza Barani Africa kwa viongozi wake wakuu kusaliti misimamo na maazimio ya Chama chao!

50% ya Wagombea wao wa Urais wamerudi CCM...
Kumbuka pia Zito karudi CCM (ACT - WAZALENDO) kupitia mlango wa nyumanju!
 
Mdee..............SHUPAVU
BULAYA.........SHUPAVU
Bawacha........MAMA LAO
 
Siasa za Tanzania zinachosha sana kwa USANII.Tume Haijapokea Majina toka Chadema,Bunge limepokea Majina sijui kutoka Wapi Chadema haijapeleka Majina Tume,SPIKA Anawaapisha Wabunge VITI MAALUM kweli SIASA za TANZANIA ni USANII Mtupu.
Tuna katiba mbovu sn mkuu hivyo inachezewa wanavyotaka
 
Leo wanafukuzwa na wakifukuzwa wanaenda mahakaman kupinga...
Nimeamin ukitoka chadema hata uwezo wa kufikiri unapungua...
Maana sio kwa upumbavu waliokuaa wanapanga mashinji na halima
 
Siasa za Tanzania zinachosha sana kwa USANII.Tume Haijapokea Majina toka Chadema,Bunge limepokea Majina sijui kutoka Wapi Chadema haijapeleka Majina Tume,SPIKA Anawaapisha Wabunge VITI MAALUM kweli SIASA za TANZANIA ni USANII Mtupu.
Ni biashara ya utumwa
 
Hata hao waliobaki nikijani pia,ccm wamebakiza pigo moja takatifu ambalo litaaashiria buriani chadema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…