Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Kukosa maadili kwenye siasa haliwezi kuwa maslahi mapana ya Taifa!
 
Ukimtaka mtu ofisini unamuandikia barua ya wito au au unamuitia waandishi wa habari?
Lichama la hovyo kabisa hili...
Wewe ndiye wa hovyo kabisa! Kwani wewe mke wa KM mpaka ujue anachokifanya kwenye suala hili!
 
Nawapongeza Sana , Sana CHADEMA kwa Tamko hili ! MUNGU awabariki Sana !
 
Hapo aibu kubwa ni kwa Halima Mdee, Very senior leader kushiriki ujinga huo kwa kweli si kwa leve yake inasikitisha sana.

Sidhani amefikia kiwango hicho ka kukosa hela hadi aisake kazi hiyo ya uwakilishi kwa nguvu bila hata kufuata utaratibu wa chama chake. Kwake watu walikuwa na imani kubwa mno hata kutabiri kumrithi Mwenyekiti Mbowe, kweli Mungu kawaonyesha rangi yake halisi mapemaa...

Yaani ipo hivi, CCM wamekula bakuli lote la nyama..... CDM wote wanapiga miayo njaa ni kali mateso na maumivu .....ohoooo kipande cha nyama kimoja kimerushwa kuwapima imani.. maskini eti huyu huyu Halima uvumilivu unamshinda anarukia kile kipande anakimega kidogo kisha anawagaia wenzake 19.... aisee inasikitisha na ni ngumu mno kuamini..

Pia yawezekana Bulaya akawa ndiye kirusi chenyewe kilichosambaza upendo...who knows!!
 
Mnyika kapwaya sana. Body language speaks. Inabidi tu amfuate Dr. Slaa.
 
Waswahili husema Usiangalie ulipoangukia bali angalia ulipojikwaa.

Tangu wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu jimbo la Kawe Halima Mdee alionekana kabisa kuwa anajiandaa kuwa mbunge wa viti maalumu na siyo jimbo.

Tukio la Halima Mdee silitofautishi sana na lile la Zitto Kabwe na Kitila Mkumbo.

Kimsingi Chadema kwa sasa ina kambi mbili Team Mbowe na Team Tundu Lisu na ubaya ni kuwa team Tundu Lisu wamejazana mitandaoni na siyo Ufipa street hivyo hawana madhara.

Maendeleo hayana vyama!
 
Sheria ipi hiyo?

Amandla...
 
Utasubiri sana, ni mbinu bora kukabiliana na adui huwezi kupambana nae ungana nae.Kwa mbinu hii huenda JPM akatumia viti vyake 10 kupoza tena joto la siasa.Kisha wakiwa ndani ya system wataweza kuendelea kushawishi maboresho katiba na tume huru.
 
Duuuh kuelewesha watz ndio ngumu hivi?
Swali: Hao walioapishwa, majina yao yamepelekwa na nani?? Sababu hata viti maalum wa mbogamboga wanautaratibu unaofatwa na chama kabla ya kupeleka majina, sio MTU anajipeleka bungeni halafu anaapishwa tuu!
Tuanzie hapa chifu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…