Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
mataga mmeumbuka leo mmebaki mkjifariji 🤣 🤣 🤣Mnyika ameshalegea wabunge wote watafika Ufipa siku ya Ijumaa kukamilisha taratibu za chama.
CCM ni chama kikubwa!
But because every Party decision affects politically organized groups within party , these groups do follow up on how decision are processed and implemented.Niko Ufipa bwashee naona Mnyika amebeba mazagazaga yake yote nadhani atatangaza kujiuzulu!
Duuuh kuelewesha watz ndio ngumu hivi?
Swali: Hao walioapishwa, majina yao yamepelekwa na nani?? Sababu hata viti maalum wa mbogamboga wanautaratibu unaofatwa na chama kabla ya kupeleka majina, sio MTU anajipeleka bungeni halafu anaapishwa tuu!
Tuanzie hapa chifu
Siasa si hasaNilitaka kushangaa kwanini Chadema haiporomoki tu kama NCCR na Cuf!! Kumbe muda wake ulikuwa haujatimia.
MAGUFULI4LIFE.
Kwa taarifa yako tuu katibu mkuu mwaka huu wala hata hakugombea, weka kichwani hilo. Chama kinataratibu zake sio kila mtu ajipeleke tuu bungeni kuapishwa, huo sio utaratibu bali ni vurugu..Katibu mkuu amekosa uzalendo. Kususa kwa Katibu Mkuu hakutakiwi kuwaumize wakinamama.
Mkuu, Return Of Undertaker,Sasa hili ndio la kuitisha press conference?
Mfumo hutema kile kisichokua na maslahi mapana ya kitaifa.kinashangaza ni mihimili yote kushirikiana kuvunja katiba.
Hahahaaaa...... Orodha imepelekwa na mwenyekiti wa kamati kuu mh Freemanmataga mmeumbuka leo mmebaki mkjifariji 🤣 🤣 🤣
BAWACHADuuuh kuelewesha watz ndio ngumu hivi?
Swali: Hao walioapishwa, majina yao yamepelekwa na nani?? Sababu hata viti maalum wa mbogamboga wanautaratibu unaofatwa na chama kabla ya kupeleka majina, sio MTU anajipeleka bungeni halafu anaapishwa tuu!
Tuanzie hapa chifu
mataga leo mmeumbuka mmebaki mnajifariji 🤣 🤣 🤣Hahahaaaa...... Orodha imepelekwa na mwenyekiti wa kamati kuu mh Freeman
Anataka tu kuwafariji WANACHAMA WAO....Ijumaa sio mbali mbona anajiuma uma kuhusu hatua za kuchukua.
Walau tumejua sio msimamo wa viongozi wote huko juu kususia bunge wamegawanyika Mnyika mwenyewe amekiri. Si ajabu watu wakaona waende na mtindo wao bila ya ku implicate uongozi (ila kwa baraka za nyuma ya pazia).
Either way kama kuna mgawanyiko jinsi ya kwenda mbele ina maana baadhi viongozi wa juu ndani ya CDM harakati za Lissu zishawachosha.
Funika kombe mwanaharamu apite.
Hii press conference umeisikiliza live kwenye radio au TV gani mpendwa?Ufipa mambo ni fire!
mataga mmeumbuka mmebaki mnajipa matumaini hewa 🤣 🤣 🤣Anataka tu kuwafariji WANACHAMA WAO....
Chezo lote analilelewa mh.Mbowe...
Na Mnyika pia ANAFAHAMU....
Wanawachezesha WENZAO chezo la kadenge....
Mojawapo ya tatizo kubwa la cdm ni kufanya vitu kwa hisia na jaziba,hakuna deep thinking yaani,,
Mkuu wakikujibu nitag!Tv gani wanaonyesha?