Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Uchaguzi 2020 Mnyika: Sakata la Wabunge wa Viti Maalum limehusisha mfumo wa Serikali kufifisha ajenda ya 'Uchaguzi haramu'. Ahoji Nusrat kuteuliwa akiwa gerezani

Niko Ufipa bwashee naona Mnyika amebeba mazagazaga yake yote nadhani atatangaza kujiuzulu!
But because every Party decision affects politically organized groups within party , these groups do follow up on how decision are processed and implemented.

And because the political influence of these groups is significant, their members make sure that Party decisions and programs serve their private interest, even when this means doing less to accomplish noble public objectives.
 
Mdee mbona jana kasema vzuri tu kuwa wana baraka kutoka kwa mwenyekiti?
Duuuh kuelewesha watz ndio ngumu hivi?
Swali: Hao walioapishwa, majina yao yamepelekwa na nani?? Sababu hata viti maalum wa mbogamboga wanautaratibu unaofatwa na chama kabla ya kupeleka majina, sio MTU anajipeleka bungeni halafu anaapishwa tuu!
Tuanzie hapa chifu
 
Nasema hivi, CDM ndio ishafika mwisho kilicho baki tudai katiba mpya tu, tukisha fanikiwa basi twende na ACT.
 
Katibu mkuu amekosa uzalendo. Kususa kwa Katibu Mkuu hakutakiwi kuwaumize wakinamama.
Kwa taarifa yako tuu katibu mkuu mwaka huu wala hata hakugombea, weka kichwani hilo. Chama kinataratibu zake sio kila mtu ajipeleke tuu bungeni kuapishwa, huo sio utaratibu bali ni vurugu..
 
nani wa kumfunga paka kengele

imebaki kuwa kitendawili.!?

kwa niaba ya akili yangu...Kaka Mkubwa atakuwa aametoa baraka zake kamili...Mnyika anakufa na tai

huyu Mzee wa kubadili gia angani ni 'pure businessman' vichwa 19 ni millions,hawezi kubali hasara

bora fedheha kuliko hasara
 
Sasa hili ndio la kuitisha press conference?
Mkuu, Return Of Undertaker,

Mshauri KM JJMnyika "..SUMU Haionjwi kwa KULAMBA...", you will be immediately poisoned and subsequent death chapter closeup.

Mnyika huna nguvu yoyote ya kunullify kilichotokea unless if you are prepared to be scrapped off from the executive position you are currently holding.

Kwanza kinachowafanya msusie na kutotambua matokeo ya uchaguzi hatimaye uhalali wa viti maalum ni unafiki and the lesson shall instill textual understanding that politics is a game of dynamic psychosis.

Mlidai mtatolea leo ufafanuzi wa wa kilichotokea badala yake unaendekeza ngojera za alinacha.
 
Ester Matiko, mume wake ni nani?. Inamaana alikua hajui hili suala?.
 
Duuuh kuelewesha watz ndio ngumu hivi?
Swali: Hao walioapishwa, majina yao yamepelekwa na nani?? Sababu hata viti maalum wa mbogamboga wanautaratibu unaofatwa na chama kabla ya kupeleka majina, sio MTU anajipeleka bungeni halafu anaapishwa tuu!
Tuanzie hapa chifu
BAWACHA
 
Ijumaa sio mbali mbona anajiuma uma kuhusu hatua za kuchukua.

Walau tumejua sio msimamo wa viongozi wote huko juu kususia bunge wamegawanyika Mnyika mwenyewe amekiri. Si ajabu watu wakaona waende na mtindo wao bila ya ku implicate uongozi (ila kwa baraka za nyuma ya pazia).

Either way kama kuna mgawanyiko jinsi ya kwenda mbele ina maana baadhi viongozi wa juu ndani ya CDM harakati za Lissu zishawachosha.

Funika kombe mwanaharamu apite.
Anataka tu kuwafariji WANACHAMA WAO....

Chezo lote analilelewa mh.Mbowe...

Na Mnyika pia ANAFAHAMU....

Wanawachezesha WENZAO chezo la kadenge....
 
Nachowakubari wanawake wa CHADEMA huwa hawataki kuyumbishwa kabisaa wanaheshimu mitazamo yao.


MAGUFULI4LIFE.
 
Tv gani wanaonyesha?
Mkuu wakikujibu nitag!
0659010.jpg
 
Back
Top Bottom