Bila kwenda mahakamani?unahitaji kifungu cha sheria au... kinacho sema kuhus hili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila kwenda mahakamani?unahitaji kifungu cha sheria au... kinacho sema kuhus hili
Kisha chama na chenyewe kitakuwa kwishnei.Maisha ni kupanga na kupanga ni kuchagua.Kama tunakumbuka msimamo wa Chadema ni kutotambua matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka huu na walisema hawatateua wabunge wa viti maalumu...
Wanawake wanaojitoa Rumande?Wanawake wenu wameamua wenyewe kuunga mkono juhudi za rais mkuu
Kwani huo uhuni umefanyika wapi na nani?
Ukiwa ambiwa toa ela ya mafuta unakiambiaHakuna tena kitu au chama kinacho itwa chadema.
eti chama kikuu cha upinzani nchini!!! loo!!!Halima mdee Oyeee!! mwenyekiti wa umoja wa wanawake oyeee!! Tanzania kwanza vyama badae.
Bila kuwafukuza chadema inafariki kama CUF ilivyokufa ghafraWanachadema wanasubiri jambo moja tu hapa...FUKUZA!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukiwa ambiwa toa ela ya mafuta unakiambia
Woi, mjinga mwingine wewe, pita hivi bhana, sanctions kisa nini?Economic sanctions ikija tutaongea lugha moja kibwengo wewe...kawaulize Zimbabwe
🙄Kwa hiyo Nusrat alijaza form wap na aliapa mahakama gani..??Wanawake wenu wameamua wenyewe kuunga mkono juhudi za Rais mkuu
Kwani huo uhuni umefanyika wapi na nani?
Mbowe ametisha
Kuna ujumbe wenu wanawake Dr Bagonza anao...CHADEMA jamani ni watu wa ajabu mnooo
Watu wake zao wameapishwa Jana lakini wakiwa live hapa wanajidai wamehujumiwa😁😁😁 Hivi kweli mke anavaa kwenda Kula kiapo bila makubaliano na mume?!
Makosa gani.Hivi nyie chadema mngeibiwa kura mngeshindwa kwenda mahakamani. Acheni kujifarijiMakosa mliyoyafanya yanawafanya muhangaike kila siku na Chadema yetu karata zenu hamkucheza vizuri
Ona sasa mnafanya uhuni live bila chenga kuwapata Viti maalumu...🤭