Uchaguzi 2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

Mi kijakazi wa mabeberu sawa ila jua bila hao mabeberu hata nchi yako isinge pata maendeleo mnawaita mabeberu wakiwapa kitu wadau wa maendeleo ila nisha ngundua nati kichwani hakuna sita kujibu tena maana nimekuona kilaza tu na unisamehe sana sikujua
Unataka nini Wewe kijakazi wa Mabeberu
 
Nashukuru kunipunguzia mzigo, usirudie tena kuniqot
Mi kijakazi wa mabeberu sawa ila jua bila hao mabeberu hata nchi yako isinge pata maendeleo mnawaita mabeberu wakiwapa kitu wadau wa maendeleo ila nisha ngundua nati kichwani hakuna sita kujibu tena maana nimekuona kilaza tu na unisamehe sana sikujua
 
Yaani Mafanikio yote hayo ya CCM Bado wanaogopa tuu!
 
Ikitokea NEC imetengeneza kanuni hiyo, hapatakuwa na haja ya kushiriki uchaguzi tena maana tayari utakuwa umekwisha fanyika.
 
CCM imekwisha ata pumzi,
Ilichobaki ni kutumia hila za hapa na pale
 
Katika kikao na vyama vya siasa, NEC imevitaka vyama vya siasa kusaini kukubali kwamba wasipewe nakala ya matokeo ya vituo

Hii maana yake NEC wanaweza kuja na matokeo mfukoni..

Wait and see
 
Kipenzi cha watu anaogopa kutoa fomu za matokeo kwa mawakala ?maajabu ya Rahman.
 
Dawa ni tume huru ya uchaguz na matokeo ya urais kupingwa mahakama huru ya kikatiba
 
Timu inapo karibia kushuka daraja huwa inamtegemea sana refa.
 
Serikali iliyotekelezA ahadi ilizotoa kwa kipindi cha miaka mitano inaogopa upinzani haya ni maajabu
 
CCM Kwisha kabisa haiwez kushindana tena kilichobaki ni goli la mkono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…