Uchaguzi 2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

Uchaguzi 2020 Mnyika: Uchaguzi 2020 mawakala kutopewa fomu za matokeo

saidi kindole

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2012
Posts
310
Reaction score
792
Mnyika leo amesema kuwa NEC katika kanuni za uchaguzi za 2020 ambazo wanataka kiziwasilisha kwa lazima zinakipengele kinachosema si lazima kwa mawakala kupewa nakala za matokeo yatakayotoka katika vituo.

Maana yake itakuwa wasimamizi wa uchaguzi wanaweza kubandika fomu hewa huku wakisindikizwa na mapolisi na huwezi lalamika popote kama walivyofanya katika uchaguzi wa jimbo la siha.

Goli la mkono limeshatengenezwa teyari na vyama makini mwaka huu hakuna hata mbunge mmoja atakayepita uchaguzi huu kama kanuni hii itakubaliwa.
 
Nategemea ujenzi wa viwanda vingine elf4 fake vitakamilika kutokana na hii sheria!!!

Jiwe nchi anapoipeleka anapajuwa mwenyewe tu!

Halafu utasikia chadema imekufa, chadema imekufa hautaki uwezi katika chaguzi.
 
Kwani kura zinahesabiwa wapi? Hii habari mbona ipo nusu nusu?
 
Magufuli kishafahamu kwamba hakubaliki sasa anaamua kutengeneza mazingira ya vita (maana wananchi hawatakubali huo ujinga ) , miaka mitano yote kafanya siasa peke yake lakini bado anaogopa !
 
Hakuna kukubaliana na hizo kanuni, na inatakiwa iwekwe wazi wananchi wote wajue. Huo ni ushahidi kuwa ccm imechoka kushindana.
ccm imeshagoma kuondoka madarakani kwa njia ya kura ni upuuzi kuendelea kuwapotezea wananchi muda kuwa wakapige kura kuondoa ccm.

Ni heri sasa vyama vianze kuwandaa wananchi kufanya civil disobedience haya mashetani hayako tayari kuondoka madarakani kwa njia ya amani.
 
Back
Top Bottom