Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni: Katika Mgomo wa wafanyabiashara, kosa la Mwigulu Nchemba ni lipi?

Hujajibu swali,kosa la Mwigulu ni lipi?
Yeye ndio Top official kwenye hio sekta ya Kodi.

Ana impose na kufacilitate Kodi uchwara na tozo Kausha damu.

Ana wagroom TRA wafanya ukandamizi huo.

Badala kuwasikiliza wafanyabiashara sidhani kama anafanya hivyo maana ana madharau. Hadi aje kiranja wake kusovu hio ishu huoni kama mtu huyo kaharibu sana au gamemshindwa.

Mtu wa kukaa kwenge huo mkutano alipaswa awe rais wa mawe sio PM ila .

Wafanyabiashara wameona hawasikilizwi ndio maana wameomba PM waongee nae.

Never trust this dude huyu MAGU 2.0
 
Madilu na PhD yake wafanyabiashara wamemwacha mbali kiufikiri, I think hizi wizara sijui uchumi, au biashara wawe wanateuliwa watu walio wazoefu na hizo biashara kuliko kuteua watu walio cremisha madesa na hawajui Hali halisi
 
Madilu na PhD yake wafanyabiashara wamemwacha mbali kiufikiri, I think hizi wizara sijui uchumi, au biashara wawe wanateuliwa watu walio wazoefu na hizo biashara kuliko kuteua watu walio cremisha madesa na hawajui Hali halisi
Ns majibu yake anayowaambia watu hamia Burundi

Leo Cha moto amekiona[emoji1787]
Nimefurahi hadi nikapiga makofi.
 
Unaweza kuthibitisha haya madai Yako?

Hayo unayiyasema TRA wameanza kuyafanya Waziri akiwa Mwigulu?

Lini hao Wafanyabiashara wamesema waliomba kikao na Waziri akafanga dharau? Au wewe Kwa shida zako binafsi ndio unasema hayo?
 
Ila nimependa wamemnanga sana kwa maneno ya kejeli maana yeye huwa anajidai bingwa wa maneno ya kukararisha.

Kuna mwamba anasema,unajitia Dokta,Dokta wa wapi wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio maana nasema elimu ya makaratasi tunayoina Bora na mtu aliyeko field, ni heri huyo wa field, maana PhD inashindwa kutatua changamoto za kutumia common sense za kawaida. At least naye madilu kapewa shombo zake ka anavojibugi watu mara waende Burundi, mara bungeni ni waganga na yeye ni PhD holder.
So PhD isiwe sifa ya title iweze kutatua changamoto
 
Au hajasikia wafanyabiashara wanavyomnanga
Wanasema wakilalamika anamwambia sijadiliani na waganga wa kienyeji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Sema wafanyabiashara wamejua kumchamba jamaa bila kupepesa macho.
Huu ni upuuzi,hizo Kauli aliongea Bungeni baada ya kumjibu mpuuzi mmja hivi ambae hata Mimi ningemjibu .
 
Kama umeamua kuandika kiswahili andika kiswahili sio unaandika kingreza cha kipuuzi kila mtu kasoma ulimbuken broo
 
Kumbe TRA hakuna shida ila mlikuwa mnatafuta Chaka la kumjibu Mwigulu 😁😁

Mpaka hapo hakuna.aliyeainisha uhusika wa Mwigulu na mgomo wa Wafanyabiashara
 
Ns majibu yake anayowaambia watu hamia Burundi

Leo Cha moto amekiona[emoji1787]
Nimefurahi hadi nikapiga makofi.
Waja husema malipo ni hapa hapa duniani na yeye kayapata. Shida ya mwigulu Huwa ni kiburi na ana amini as long as ni waziri ana power anaweza kufanya chochote Kwa kiburi bila kujua athari zake kiuchumi. Akiwa Rais huyu atakuwa hatari mno.
Yule Ashatu hajachambwa sana vile Huwa hatemi shombo hovyo hovyo
 
Kumbe TRA hakuna shida ila mlikuwa mnatafuta Chaka la kumjibu Mwigulu [emoji16][emoji16]

Mpaka hapo hakuna.aliyeainisha uhusika wa Mwigulu na mgomo wa Wafanyabiashara
Mwigulu mhusika number moja angetakiwa ajiuzulu ka prove kuwa failure why aendelee na hyo nafasi huku inputs yake zero Hadi kumetokea mgomo. He must show responsibility na ku step down.
 
Hata kabla ya mgomo mwigulu ana makosa tayari.

Tangu lini TZ mchele ukauzwa 4000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…