ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ka prove kuwa failure Kwa lipi hasa? Makusanyo.sasa ni 2T Kwa mwezi kutoa 1.3T unasema ka prove failure? Acha majungu.Mwigulu mhusika number moja angetakiwa ajiuzulu ka prove kuwa failure why aendelee na hyo nafasi huku inputs yake zero Hadi kumetokea mgomo. He must show responsibility na ku step down.
Hayo masuala ya upuuzi wa TRA Wala hayamhusu Waziri unless hamuelewi kazi za Waziri.
Hiki anachoongea Chalamila ndio kazi hasa ya Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa TRA ,Takukutu na Polisi sio issue ya Mwigulu..
Angekuwa ame prove failure.kama.uchumi ungekuwa unaanguka nk ila sio blaa blaa zenu Kwa sababu za chuki za Kisiasa..