ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Ka prove kuwa failure Kwa lipi hasa? Makusanyo.sasa ni 2T Kwa mwezi kutoa 1.3T unasema ka prove failure? Acha majungu.Mwigulu mhusika number moja angetakiwa ajiuzulu ka prove kuwa failure why aendelee na hyo nafasi huku inputs yake zero Hadi kumetokea mgomo. He must show responsibility na ku step down.
Wazee kwa kucremishaNdio maana nasema elimu ya makaratasi tunayoina Bora na mtu aliyeko field, ni heri huyo wa field, maana PhD inashindwa kutatua changamoto za kutumia common sense za kawaida. At least naye madilu kapewa shombo zake ka anavojibugi watu mara waende Burundi, mara bungeni ni waganga na yeye ni PhD holder.
So PhD isiwe sifa ya title iweze kutatua changamoto
Mwigulu ndio waziri mwenye dhamana, hivyo hakuna namna atakwepa lawama hizi.Mkuu haya mambo nakuelewa sana, hoja yangu hapa ni kwamba Mwigulu amekosea nini?
Tumelia na haya masheria mabovu kwa miaka hata kabla ya Mwigulu, leo nashangqq kishabiki kabisa anabebeshwa zigo lote.
Kwa hiyo Mwigulu ndio anatakiwa kuwalimia.nyie Ili mchele ushuke si.ndio? Kwa taarifa yenu Rais hafanyii.kazi majungu.Hata kabla ya mgomo mwigulu ana makosa tayari.
Tangu lini TZ mchele ukauzwa 4000.
Kama watu gani hao? Kama.kero zipi hizo?Wazee kwa kucremisha
Toka ameshika wizara,kero kwa wananchinzimezidi.
Naunga mkono hoja,wapewe watu wenye uwezo na si wenye makaratasi ya PhD.
Siku akitumbuliwa sipatii picha furaha ya wafanyabiashara [emoji23],,hata wananchi wa kawaida.Waja husema malipo ni hapa hapa duniani na yeye kayapata. Shida ya mwigulu Huwa ni kiburi na ana amini as long as ni waziri ana power anaweza kufanya chochote Kwa kiburi bila kujua athari zake kiuchumi. Akiwa Rais huyu atakuwa hatari mno.
Yule Ashatu hajachambwa sana vile Huwa hatemi shombo hovyo hovyo
Au mwenzetu upo pluto haupo duniani?Kama watu gani hao? Kama.kero zipi hizo?
Kwani akitumbuliwa mtaacha kulipa Kodi? Kodi ziko pale paleSiku akitumbuliwa sipatii picha furaha ya wafanyabiashara [emoji23],,hata wananchi wa kawaida.
Kwa kweli malipo ni hapahapa duniani..
Ilitakiwa achambwe hata wiki nzima.
Sisapoti janjajanja za wafanyabiashara ila nimefurahi jamaa naye kachambwa maana anajidai yeye pekee ndo anayejua kuchamba.
Nasemaje hata kabla ya uteuzi Mwigulu ana makosa. Alivyoteuliwa kuwa waziri makosa yameongezeka mara 100Kwa hiyo Mwigulu ndio anatakiwa kuwalimia.nyie Ili mchele ushuke si.ndio? Kwa taarifa yenu Rais hafanyii.kazi majungu.
Huyu ako na PHDHakuna mfanyabiashara bogus kama wewe.
Wafanyabiadhara halisi kina Freddy Vunjabei tumewasikia wenyewe leo na hata mama Bonge tumemsikia, wewe ni chawa tu wa Mwigulu.
Kuchambwa hajaanza Leo Wala Jana ,Kama Rais mwenyewe anachambwa sembuse Waziri wa Fedha?Au mwenzetu upo pluto haupo duniani?
Au ndo chawa wake?
Kachambwaaaa
Kama vipi kamsaidie mchambwe wote.
Yeye ka waziri ajiuzulu maana wachini hawafanyi maelezo ya wizara tayari ni uzembe, huoni akiachwa ataua uchumi mazima maana hoja nyingi alipelekewa akagoma kubadiliLa prove kuwa failure Kwa lipi hasa?
Hayo masuala ya upuuzi wa TRA Wala hayamhusu Waziri unless hamuelewi kazi za Waziri.
Hiki anachoongea Chalamila ndio kazi hasa ya Mkuu wa Mkoa,Mkuu wa TRA ,Takukutu na Polisi sio issue ya Mwigulu..
Angekuwa ame prove failure.kama.uchumi ungekuwa unaanguka nk ila sio blaa blaa zenu Kwa sababu za chuki za Kisiasa..
Wa chini wanatekeleza wajibu wao Kwa mujibu wa sheria na kanuni,kama kuna Changamoto zingine pelekeni Kwa utatuzi au karipoti.kwa vyombo.Yeye ka waziri ajiuzulu maana wachini hawafanyi maelezo ya wizara tayari ni uzembe, huoni akiachwa ataua uchumi mazima maana hoja nyingi alipelekewa akagoma kubadili
Mwigulu maneno yake ya shombo ndio yanayo mfanyaga ashambuliwe vile vile Huwa hashauriki flani hata tozo ya online transactions alishauriwa akawa mgumu matokeo yake watu wakaacha kutumia huduma.Siku akitumbuliwa sipatii picha furaha ya wafanyabiashara [emoji23],,hata wananchi wa kawaida.
Kwa kweli malipo ni hapahapa duniani..
Ilitakiwa achambwe hata wiki nzima.
Sisapoti janjajanja za wafanyabiashara ila nimefurahi jamaa naye kachambwa maana anajidai yeye pekee ndo anayejua kuchamba.
Mtu ana PhD ya business administration huku hajawahi kuwa na biashara yoyote hajui hata changamoto za watu then una mpa wizara aongoze [emoji28][emoji28] matokeo yake ni Kuja na theory zinazofeli.Wazee kwa kucremisha
Toka ameshika wizara,kero kwa wananchinzimezidi.
Naunga mkono hoja,wapewe watu wenye uwezo na si wenye makaratasi ya PhD.
π€£π€£π€£π€£ Kumbe shida ni maneno ila hizo kero zake mnamsingizia ππMwigulu maneno yake ya shombo ndio yanayo mfanyaga ashambuliwe vile vile Huwa hashauriki flani hata tozo ya online transactions alishauriwa akawa mgumu matokeo yake watu wakaacha kutumia huduma.
Waweza kuwa msomi ila sililiza watu walioko field ili kuwe na win win situations, Sasa misheria mibovu ndio inasababisha watu wakwepe Kodi, kariakoo imeshakimbiwa na wafanyabiashara kisa ujinga tu wa Sheria za hovyo, hivi nchi ambazo hazina bandari bidhaa zao ni Bei nafuu kuliko wenye bandari na waziri bado anajiona ana fit na ni PhD [emoji28][emoji28] ati.
KERO ni nyingi sana, Tena huyu anamchafulia mama CV ya uongozi wake kabisa, imagine wafanyabiashara wakigoma nchi nzima siitaonekana mama ndio kafeli kabisa na uchumi kufa.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kumbe shida ni maneno ila hizo kero zake mnamsingizia [emoji16][emoji16]
Mpaka hapo Rais hafanyii kazi majungu ,kama.Mwendazake alivyokataa kumtoa RC Makonda sitegemei Rais Samia kumtoa Mwigulu Kwa sababu za chuki binafsi .
Hawana hoja na Wala hawatakujibu wataishia kusema ana maneno ya shombo ππ.Majukumu na wajibu wake kama waziri na wizara yake ni yapi tuanzie hapo.
#Blackviewbv9300
#Cubotkingkongpower