Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni: Rais Magufuli yupo well-informed na fiti sana kichwani kwa kumbukumbu. Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa!

Mnyonge mnyongeni, haki yake mpeni: Rais Magufuli yupo well-informed na fiti sana kichwani kwa kumbukumbu. Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa!

Mshana Jr,
Ninachokiona mimi ni kwamba Rais anawatisha wateule wake. Baada ya watu kusemewa mambo yao hadharani watakuwa wameingiwa na uoga na kufanya vile anavyotaka rais.

Watakuwa wanawaza kama amejua haya basi kila ntakachokifanya atajua kitu ambacho sio kweli.

Kwa mtu mwenye roho ngumu kama Kange anajaribu bahati af anasubiria matokeo.
 
Wadaku wa JF Wangekuwa na access hakika wangeomba wapewe data za ndoa za wafuatao
1. Cheupe
2. Kidoti
3. Yooooo
4.
 
Bunge ndio liangalie kwanza ratiba ya Ikulu kwa siku husika!
Ratiba ya bunge inaeleweka na vikao vyake kwa mwaka vinajulikana. Bunge haliwezi kuangalia kwanza ratiba ya ikulu ndiyo lianze vipindi vyake, ikiwa hivyo vikao vingi tu vya bunge vitaahirishwa au muda wake kusogezwa. Huo utakuwa utaratibu wa ovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nini mtu akijieleza maoni yake huwa yanatfsiriwa ni matusi.hebu nionyeshe tusi moja labda sisi waswahili wa shamba hatujui matusi ya mjini.nimerudia mara tatu kutafuta hayo au hilo tusi sijaliona.
Sema we jamaa bhana. Ngosha akisoma kichwa na ulivyomtukana humo ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ratiba ya bunge inaeleweka na vikao vyake kwa mwaka vinajulikana. Bunge haliwezi kuangalia kwanza ratiba ya ikulu ndiyo lianze vipindi vyake, ikiwa hivyo vikao vingi tu vya bunge vitaahirishwa au muda wake kusogezwa. Huo utakuwa utaratibu wa ovyo sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Basi endeleeni kuvumilia au tumieni Bunge tv!
 
Anajua umri wao, anajua elimu zao hadi za watoto wao; hadi anawajua waume zao na kuwapongeza kwa kuwa ni watu wenye misimamo wasiosikiliza majungu hivyo ndoa hizo zimesimama.

Mwalimu wangu alinielekeza wakati nasoma somo la hisabati nihakikishe mezani hamna makando kando mfano vitabu/vifaa vinavyohusiana na masomo mengineyo (maana halisi - akilini unakuwa umefunga mafile/folder ya masomo mengineyo na kufungua file/folder la hisabati tu)...lengo ni kujenga utulivu wa kuweza kusoma na kufanya hesabu kwa utulivu, na kupambanua mambo kinagaubaga
Ilinichukua mda kumwelewa mwalimu ila baadae nilielewa pasipo hata na mitihani
 
Back
Top Bottom