Danny Jully
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 4,416
- 3,860
Unafikiri hana? Anajua kila kitu.Rais wa nchi gani huyo Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa lakini za wauaji kwenye nchi yake hana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unafikiri hana? Anajua kila kitu.Rais wa nchi gani huyo Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa lakini za wauaji kwenye nchi yake hana?
Sikujua kama na wewe ni wa kima cha chini kiakili. "Umli" ndo nini?Wewe Upo karne ya 20
Wenzie wapo karne ya 21
Au ndio wewe ulie potea na lindege lile la Marekani nakuonekana mkiwa na umli ule ule
Awamu ya nne!!
Hajui habari za Daud Bashite mpaka America imemkataa alafu Paskal mayala anajisemea eti ana data?Rais wa nchi gani huyo Ana data hadi za majungu hatarishi ya ndoa lakini za wauaji kwenye nchi yake hana?
Ratiba ya bunge inaeleweka na vikao vyake kwa mwaka vinajulikana. Bunge haliwezi kuangalia kwanza ratiba ya ikulu ndiyo lianze vipindi vyake, ikiwa hivyo vikao vingi tu vya bunge vitaahirishwa au muda wake kusogezwa. Huo utakuwa utaratibu wa ovyo sana.Bunge ndio liangalie kwanza ratiba ya Ikulu kwa siku husika!
Sema we jamaa bhana. Ngosha akisoma kichwa na ulivyomtukana humo ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
5- shemeji yake mtukufuWadaku wa JF Wangekuwa na access hakika wangeomba wapewe data za ndoa za wafuatao
1. Cheupe
2. Kidoti
3. Yooooo
4.
Basi endeleeni kuvumilia au tumieni Bunge tv!Ratiba ya bunge inaeleweka na vikao vyake kwa mwaka vinajulikana. Bunge haliwezi kuangalia kwanza ratiba ya ikulu ndiyo lianze vipindi vyake, ikiwa hivyo vikao vingi tu vya bunge vitaahirishwa au muda wake kusogezwa. Huo utakuwa utaratibu wa ovyo sana.
Sent using Jamii Forums mobile app