Mo afafanua ununuzi wake kwa Simba

Mo afafanua ununuzi wake kwa Simba

Mkuu...sasa kila mkutano ili uweze kuendelea si unahitaji Quorum kutimia....Na kadri ya katiba ya Simba quorum ilitimia na kikao kikaendelea...

Kitu ambacho hujui hii timu ina mashabiki wengi na wanachama ni wachache...Jiulize why hata wewe sio mwanachama?

Kikao kilikuwa na mamlaka ya kupitisha maamuzi then

Pia nikuulize umetaja 3000,Je simba ina wanachama wangapi?

Then toa argument zako kwanini hukubaliani na 51%...kwamba zito naye kasema....eeeeeeeeh....mkuu...Kwani zito ni Mungu...hayo ni maoni yake....make your own argument.

Ongea fact sio hisia.......Simba kama imeshindwa kwa miaka 80 kuwa na idadi hiyo itaweza lini na kwa miujiza gani?

Tuwe realistic.....Mfumo unaoutaka wewe wa kumilikiwa na watu weeengi unafaa sana kwenye timu za ndondo...za mchangani...Ila kwa Mpira wa sasa wa wa kibiashara unahitaji kuwa serious on business kama zifanyavyo timu nyingi

A good ccase ni TP mazembe....ilikuwa inamilikiwa na wanachama na haikuwa na kipya...baada ya kuchukuliwa na Moise...it is one of the best teams in Africa and world

1.Viongozi waliopo wameshindwa kuwashirikisha wapenzi na mashabiki walikuwa na uwezo wa kuwafanya hao wapenzi mashabiki wawe WANACHAMA,Hao wanachama wachache ni rahisi kuwahadaa ndio kinachofanyika miaka yote.Sidhani kama kwenye vikao vyao,vya mwaka huwa wanataja idadi ya wanachama waliongezeka.Kwenye proposal ya MO ambaye anataka kuendesha timu kitaalamu nilifikiri atalifikiria hili lakini yeye hana huo mpango

2.Kabla hata jamaa hajainunua tayari ilikuwa timu ambayo imefanikiwa sana on pitch. Mazembe inamilikiwa 100% na Moise Katumbi now ni kama Azam na Bakhresa .Barcelona,Real Madrid,Bayern Munich ni timu ambazo zinamilikiwa na wanachama na bado zinafanya vizuri while AC Milan,QPR,Cardiff zinamilikiwa na watu binafsi na zinafanya vibaya.Kumilikiwa na mtu sio kigezo pekee cha timu kufanya vizuri

3.Akiwa na 51% yeye ndio decision maker anaweza kuamua chochote bila kuwashirikisha na hamuwezi kumfanya chochote.Ni sawa na bunge letu sasa wanachokitaka CCM ndio kinapitishwa bungeni kiwe kizuri au la (Sheria ya mtandao,fao la kujitoa)

4.Simba/Yanga zina fan base kubwa ndio maana hata MO/Manji wanazitaka na hawaanzishi timu zao.Kuwashirikisha wanachama wengi ni kuongeza wigo wa kuongeza mapato na kupunguza utegemezi kwa watu binafsi,kukiwa na uongozi mzuri hizo klabu zinaweza kuwa na wanachama 1 m imagine kila mwanachama akilipa fee 5000 kwa mwaka klabu itakusanya 1 bilion

5.Nothing is impossible kama wanachama wakipewa elimu ya kutosha kuhusu kubadili mfumo.Leo wapinzani wana wabunge Mbeya,Morogoro,Iringa,Mtwara,Singida,Tanga vitu ambavyo miaka 10 iliyopita ilionekana haitawezekana
 
.Viongozi waliopo wameshindwa kuwashirikisha wapenzi na mashabiki walikuwa na uwezo wa kuwafanya hao wapenzi mashabiki wawe WANACHAMA,Hao wanachama wachache ni rahisi kuwahadaa ndio kinachofanyika miaka yote.Sidhani kama kwenye vikao vyao,vya mwaka huwa wanataja idadi ya wanachama waliongezeka.Kwenye proposal ya MO ambaye anataka kuendesha timu kitaalamu nilifikiri atalifikiria hili lakini yeye hana huo mpango

sio waliopo...Ni viongozi wote Tangu kuanzishwa kwa klabu na hadi sasa ina miaka 80.....wote wameshindwa...Nimekuuliza kuna muujiza gani wa kuweza? ...Unachokisema hapa ni kupiga siasa.,....Unaongelea Zaid NGE,WANGE,WAME.....Twendeni kwenye uhalisia...miaka 80 imeshindwa kuja na matokeo chanya...unataka miaka mingine mingapi uje na matokeo chanya?

3.Akiwa na 51% yeye ndio decision maker anaweza kuamua chochote bila kuwashirikisha na hamuwezi kumfanya chochote.Ni sawa na bunge letu sasa wanachokitaka CCM ndio kinapitishwa bungeni kiwe kizuri au la (Sheria ya mtandao,fao la kujitoa)

Kwani kwa sasa kina Hanspope na kina rage wameamua wanavyotaka...mmewafanyaje?...cha zaidi walichokifanya ni kunufaisha matumbo yao.....Look here Abramovich anaimiliki Chelsea....Na mashabiki wanafurahia mpira.....Kumbuka MO ni mfanyabiashara ...akimiliki hizo 51% atahakikisha biashara yake inafanya vizuri ili impe faida....na biashara yake kufanya vizuri ni kuwa na timu nzuri na bora.....MO kama business man atakuwa controlled na consumers ambao ni mashabiki wa Simba....Akishindwa kuwasikiliza hatapata Return on Investment

4.Simba/Yanga zina fan base kubwa ndio maana hata MO/Manji wanazitaka na hawaanzishi timu zao.Kuwashirikisha wanachama wengi ni kuongeza wigo wa kuongeza mapato na kupunguza utegemezi kwa watu binafsi,kukiwa na uongozi mzuri hizo klabu zinaweza kuwa na wanachama 1 m imagine kila mwanachama akilipa fee 5000 kwa mwaka klabu itakusanya 1 bilion

Wewe hapa unaongea maneno yale yale ambayo huwa tunayasikia kila siku ...Hatuwezi kuwa tunaongea ongea kila siku pasipo kuchukua hatua...we need to take action...na action ni hii sasa
 
sio waliopo...Ni viongozi wote Tangu kuanzishwa kwa klabu na hadi sasa ina miaka 80.....wote wameshindwa...Nimekuuliza kuna muujiza gani wa kuweza? ...Unachokisema hapa ni kupiga siasa.,....Unaongelea Zaid NGE,WANGE,WAME.....Twendeni kwenye uhalisia...miaka 80 imeshindwa kuja na matokeo chanya...unataka miaka mingine mingapi uje na matokeo chanya?

Kwani kwa sasa kina Hanspope na kina rage wameamua wanavyotaka...mmewafanyaje?...cha zaidi walichokifanya ni kunufaisha matumbo yao.....Look here Abramovich anaimiliki Chelsea....Na mashabiki wanafurahia mpira.....Kumbuka MO ni mfanyabiashara ...akimiliki hizo 51% atahakikisha biashara yake inafanya vizuri ili impe faida....na biashara yake kufanya vizuri ni kuwa na timu nzuri na bora.....MO kama business man atakuwa controlled na consumers ambao ni mashabiki wa Simba....Akishindwa kuwasikiliza hatapata Return on Investment

Wewe hapa unaongea maneno yale yale ambayo huwa tunayasikia kila siku ...Hatuwezi kuwa tunaongea ongea kila siku pasipo kuchukua hatua...we need to take action...na action ni hii sasa

Naona tuko dunia tofauti,sijasema kwamba hao kina Aveva waendelee kuongoza nimetoa proposal ya mfumo unaofaa licha ya proposal ya MO ya kununua timu.
Mashabiki hawana impact yeyote kwa mmiliki wa timu kama ulikuwa hujui unapaswa ulitambue mapema(kama sio mwanahisa hakuna atakaye kusikiliza)

Hakuna mfanyabiashara anayeanzisha ili apate hasara na sio wafanyabiashara wote wanapata faida

Kwako wewe kuchukua hatua ni kumuuzia timu MO ?
 
hivi vijana wa leo mkoje? MTU anapouliza sio kuwa hakumsikia mtu akisema ila hajaelewa! mimi nilichouliza hakiusian na Mo moja kwa moja nimeuliza ili kupata ufahamu in general, sasa sifahamu kwann umenijibu kifedhuri namna hiyo! sio kila MTU anajua haya mambo ya share holder ndugu yangu kama ungeoikua una akili timamu wala usingejisumbua kunijibu kama MTU uliyekurupushwa unajisaidia kichakani! TUHESHIMIANE
Nikuheshimu kwa majibu haya!!??? .... Wakati haujitambui
 
Exactly my point, anachukua 51% ya umiliki bure, halafu ndo analeta hiyo 20bil ya kuendeshea timu, na wakati huo huo ana maamuzi juu ya matumizi ya hiyo fedha.
Mkuu umeweka kwa ufupi sana na ndio ukweli wote huo. Mo kapewa timu bure.

Na kwa kuwa atakuwa na maamuzi yote juu ya klabu, nawaza siku akiamua kuuza mojawapo ya mali za klabu, mf lile jengo pale Msimbazi. Na mnunuzi akawa kampuni X ambayo ni kampuni tanzu ya Mo.

Daah. Huyu hamaa ni business genius.
 
Nikuheshimu kwa majibu haya!!??? .... Wakati haujitambui
Mimi na wewe ni nani asiyejitambua sasa akiyekurupukia kujibu asichoulizwa!? Acha ujuaji mimi niliuliza kwa lengo La kusaidiwa kueleweshwa na wala sikuuliza ili nomkashifu au kumkandia mtu,aulizae anataka kujua
 
Mwaka Jana kulikuwa na uwekezaji uliofanyika ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo ambapo bilionea na mwanasiasa machachari ambaye alikuwa kiongozi ndani ya serikali na kada mwandamizi wa chama cha Mapinduzi mzee Edward Ngoyai Lowassa aliuziwa CHADEMA kwa Tsh 13bilioni na kufanikiwa kukimilikishwa chama hicho.

Mwaka huu nako ametokea bilionea bilionea kijana Mohsmed Dewji kuomba kumilikishwa hisa 51% katika klabu kongwe barani Africa Simba sports Club kwa Tsh 20bilioni swali langu ni kuwa kumbe SSC inathamani kubwa kuliko CHADEMA?

Lakini hii pia inatufundisha nini sisi kama Watanzania?

Je, sasa nchi yetu wenye pesa wanaweza kufanya jambo lolote hata kuweza kununua serikali na watanzania nasisi tukabaki tunapiga makofi?

Nisaidiwe
 
Ulipojibu na kuuliza kwa dhihaka na dharau juu ulitaraji ujinasibu una hekima eti!!??? .... Eti heshima jiheshimu uheshimiwe
 
Mwaka Jana kulikuwa na uwekezaji uliofanyika ndani ya chama cha Demokrasia na Maendeleo ambapo bilionea na mwanasiasa machachari ambaye alikuwa kiongozi ndani ya serikali na kada mwandamizi wa chama cha Mapinduzi mzee Edward Ngoyai Lowassa aliuziwa CHADEMA kwa Tsh 13bilioni na kufanikiwa kukimilikishwa chama hicho.

Mwaka huu nako ametokea bilionea bilionea kijana Mohsmed Dewji kuomba kumilikishwa hisa 51% katika klabu kongwe barani Africa Simba sports Club kwa Tsh 20bilioni swali langu ni kuwa kumbe SSC inathamani kubwa kuliko CHADEMA?

Lakini hii pia inatufundisha nini sisi kama Watanzania?

Je, sasa nchi yetu wenye pesa wanaweza kufanya jambo lolote hata kuweza kununua serikali na watanzania nasisi tukabaki tunapiga makofi?

Nisaidiwe
Ahya nenda kachukue buku zako 2 lumumba
 
Teh teh teh
 
Mkuu una akili mno.

Jamaa hela kaizungusha inarudi mfukoni mwake kama 51%.

Kununua ni kama kawalipa waliokua wameshika hiyo 51% earlier akafanya buyout,hao watu wakashika mshiko wao 20Bil wakasepa,then akaanza kuwekeza kwenye timu afresh.

Jamaa hajanunua kitu,kapewa timu bure 51%,halafu hiyo 20B ni ya kuendeshea timu.

Infact naweza hisi Simba haikua na mmiliki,ilikua kama NGO/Association tu,nadhani Trustees walikua wanashika madaraka kwa niaba ya washika kadi.

Aisee jamaaa ana-close business of the century,kapewa timu bureeee!
ulitaka hizo bilioni 20 wapewe nani?
 
Back
Top Bottom