MO afuatiliwe kwa utakatishaji wa pesa

Ichunguzwe na makato ya Mishahara ya wabunge wa cha Domo kwa miaka mitano zilipokwenda
 
Nendeni CAS kwanza. Mkishapewa jibu, ndio tutaanza kuangalia hilo hitaji lako. Ila kumbuka wivu ni kidonda.....
 
Ligi ianzemaanautopolo wameanza kunenepa.. Kwa kutetemeka kwenu huku tutawapiga Barca kabisa yaani 8 .
 
Sasa wewe umeona hili jukwaa ni la wasukuma pekee??

Nenda kaongelee mambo ya kilugha Nyumbani kwenu kwenye vikao vya kifamilia.

Haalafu wewe ukiwa mwana hisa na chama,kampuni au kikundi hurusiwi kuiboresha bidhaa yenu?

Wewe CHURA kimvua kimenyesha sasa rudi matopeni upooze hayo maumivu na makovu ya jua uliyonayo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mo ana akili ya biashara. Anapambana kujenga brand ya Simba. Mpaka mkataba wa Sportspesa unaisha Simba itakuwa juu sana,inaweza kupata udhamini wa pesa ndefu sana
 
kwanza umeanza na salamu za kikabila ukaja na ya kidini, yani huna hoja, hupati sapoti, na tunaona unatuletea ukabila, udini na urangi (racism) , tunaomba yafe mawazo yako
 
Tunashukuru Utopolo fc kumleta Luc, maana ametufumbua fumbo kua mashabiki wa Utopolo fc wanaropoka tu ka manyani
 
Kuboresha kwa muhtasari upi
 
Manyani FC bhana! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kwani Flow ya Fedha ya GSM inajuilikana? Coz anasajili na kuchangia mishahara bila ya Mkataba!
Kwanza ungeanza na Mababa zenu GSM
Bro ubaguzi kwa wenzetu all sera ya simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…