Usipende kuingiza mambo ya siasa kwenye kila jamboTusipangiane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usipende kuingiza mambo ya siasa kwenye kila jamboTusipangiane
Kiba anasemaje mzee?Na bado Mpaka Mnyooke
Lekaga gete, nahene milimo.
Mlimpola bhagosha bhane!
Shalom!
Mpaka sasa hakuna anaeweza kuthibitisha kuwa MO amesha weka ile bilioni 20 kwenye account ya simba au Ile ya kampuni,sidhani hata BMT sidhani wamewahi kuthibitisha. Mzee Rage hapa karibuni amesisikika akiomba BMT audition ya kifedha ,kwenye vilabu hivi.
Maana hakuna ajuaye mapato ya klabu kwa mwaka,mikataba kama mo extra na halisi, bajeti ya usajili na gharama za uendeshaji kwa msimu uliopita. Kubwa logo ya klabu ni mkutano gani ulioidhinisha.
Kwanini tunahofu na money laundry usajili unaofanyika tunahisi unatoka nje ya mapato ya klabu, zipo hisia kuwa kuna genge linaitumia klabu kutakatisha fedha. Maana kama ni udhamini lazima uwe kwenye mkataba. N.a. flow yake ieleweke!
NB:ni ushauri tu sijasema anatakatisha!Ila wanazengo tuna mashaka tu.
Wapinga rushwa tunawasilisha.
Sipendi ila nalazimika kufanya hivyoUsipende kuingiza mambo ya siasa kwenye kila jambo
kwanza umeanza na salamu za kikabila ukaja na ya kidini, yani huna hoja, hupati sapoti, na tunaona unatuletea ukabila, udini na urangi (racism) , tunaomba yafe mawazo yakoLekaga gete, nahene milimo.
Mlimpola bhagosha bhane!
Shalom!
Mpaka sasa hakuna anaeweza kuthibitisha kuwa MO amesha weka ile bilioni 20 kwenye account ya simba au Ile ya kampuni,sidhani hata BMT sidhani wamewahi kuthibitisha. Mzee Rage hapa karibuni amesisikika akiomba BMT audition ya kifedha ,kwenye vilabu hivi.
Maana hakuna ajuaye mapato ya klabu kwa mwaka,mikataba kama mo extra na halisi, bajeti ya usajili na gharama za uendeshaji kwa msimu uliopita. Kubwa logo ya klabu ni mkutano gani ulioidhinisha.
Kwanini tunahofu na money laundry usajili unaofanyika tunahisi unatoka nje ya mapato ya klabu, zipo hisia kuwa kuna genge linaitumia klabu kutakatisha fedha. Maana kama ni udhamini lazima uwe kwenye mkataba. N.a. flow yake ieleweke!
NB:ni ushauri tu sijasema anatakatisha!Ila wanazengo tuna mashaka tu.
Wapinga rushwa tunawasilisha.
Kigoma na mtwara kaweka historia viwanja vilitapikaKiba anasemaje mzee?
De utopoloAkina nani
Tunashukuru Utopolo fc kumleta Luc, maana ametufumbua fumbo kua mashabiki wa Utopolo fc wanaropoka tu ka manyaniLekaga gete, nahene milimo.
Mlimpola bhagosha bhane!
Shalom!
Mpaka sasa hakuna anaeweza kuthibitisha kuwa MO amesha weka ile bilioni 20 kwenye account ya simba au Ile ya kampuni,sidhani hata BMT sidhani wamewahi kuthibitisha. Mzee Rage hapa karibuni amesisikika akiomba BMT audition ya kifedha ,kwenye vilabu hivi.
Maana hakuna ajuaye mapato ya klabu kwa mwaka,mikataba kama mo extra na halisi, bajeti ya usajili na gharama za uendeshaji kwa msimu uliopita. Kubwa logo ya klabu ni mkutano gani ulioidhinisha.
Kwanini tunahofu na money laundry usajili unaofanyika tunahisi unatoka nje ya mapato ya klabu, zipo hisia kuwa kuna genge linaitumia klabu kutakatisha fedha. Maana kama ni udhamini lazima uwe kwenye mkataba. N.a. flow yake ieleweke!
NB:ni ushauri tu sijasema anatakatisha!Ila wanazengo tuna mashaka tu.
Wapinga rushwa tunawasilisha.
Na haka katabia kakupangiana cha kuandika sijui kataisha lini,Tusipangiane
Kuboresha kwa muhtasari upiSasa wewe umeona hili jukwaa ni la wasukuma pekee??
Nenda kaongelee mambo ya kilugha Nyumbani kwenu kwenye vikao vya kifamilia.
Haalafu wewe ukiwa mwana hisa na chama,kampuni au kikundi hurusiwi kuiboresha bidhaa yenu?
Wewe CHURA kimvua kimenyesha sasa rudi matopeni upooze hayo maumivu na makovu ya jua uliyonayo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro ubaguzi kwa wenzetu all sera ya simbaManyani FC bhana! 😂😂😂
Kwani Flow ya Fedha ya GSM inajuilikana? Coz anasajili na kuchangia mishahara bila ya Mkataba!
Kwanza ungeanza na Mababa zenu GSM
Du! Ushabiki unaua uhalisiakwanza umeanza na salamu za kikabila ukaja na ya kidini, yani huna hoja, hupati sapoti, na tunaona unatuletea ukabila, udini na urangi (racism) , tunaomba yafe mawazo yako
Umeshaanza kurudiwa na fahamu. Kwa muda nilidhani wewe ni dumpster case.Bado kuna matumaini.Du! Ushabiki unaua uhalisia