mpita-njia
JF-Expert Member
- Dec 3, 2010
- 1,734
- 1,616
Heshima kweli apewe.
Ila Bilioni 20 alitakiwa aziweke kwenye Simba Sports Club Company ltd. Kampuni ambayo atamiliki 49%.
Nembo katengeneza Mwamedi, kila kitu kinafanywa na Mwamedi!Aiseee wasimba haturuhusiwi kuhoj tena
Thinking out of the boxHakuna mwenye uhakika kuwa zile milioni 50 kila kijiji zilisha pelekwa huko wala ile 1.5trilion ilikwenda wapi. Hao wote kwa mazingira yao wachunguzwe kwa utakatidhaji fedha
Hehe ... wanachama wa Simba? Hell no.Ila sijui wabongo tunakwama wapi. Hizo B20 Wanachama walikuwa wanaweza kuzikusanya kama wangetaka.
Lakini je unaweza kuwaamini viongozi ukawapa funguo la kabati yenye pesa zote hizo?
Lekaga gete, nahene milimo.
Mlimpola bhagosha bhane!
Shalom!
Mpaka sasa hakuna anaeweza kuthibitisha kuwa MO amesha weka ile bilioni 20 kwenye account ya simba au Ile ya kampuni,sidhani hata BMT sidhani wamewahi kuthibitisha. Mzee Rage hapa karibuni amesisikika akiomba BMT audition ya kifedha ,kwenye vilabu hivi.
Maana hakuna ajuaye mapato ya klabu kwa mwaka,mikataba kama mo extra na halisi, bajeti ya usajili na gharama za uendeshaji kwa msimu uliopita. Kubwa logo ya klabu ni mkutano gani ulioidhinisha.
Kwanini tunahofu na money laundry usajili unaofanyika tunahisi unatoka nje ya mapato ya klabu, zipo hisia kuwa kuna genge linaitumia klabu kutakatisha fedha. Maana kama ni udhamini lazima uwe kwenye mkataba. N.a. flow yake ieleweke!
NB:ni ushauri tu sijasema anatakatisha!Ila wanazengo tuna mashaka tu.
Wapinga rushwa tunawasilisha.
Nyie mwaka huu subirini tuwa-Tonombe tu.Wako walioshindwa hata kukusanya nauli ya Mwanza kwa ndege halafu basi hadi Shinyanga. Basi lao spana mkononi. Matikiti maji chakula cha barabarani.
Utopolo mtapata tabu sanaLekaga gete, nahene milimo.
Mlimpola bhagosha bhane!
Shalom!
Mpaka sasa hakuna anaeweza kuthibitisha kuwa MO amesha weka ile bilioni 20 kwenye account ya simba au Ile ya kampuni,sidhani hata BMT sidhani wamewahi kuthibitisha. Mzee Rage hapa karibuni amesisikika akiomba BMT audition ya kifedha ,kwenye vilabu hivi.
Maana hakuna ajuaye mapato ya klabu kwa mwaka,mikataba kama mo extra na halisi, bajeti ya usajili na gharama za uendeshaji kwa msimu uliopita. Kubwa logo ya klabu ni mkutano gani ulioidhinisha.
Kwanini tunahofu na money laundry usajili unaofanyika tunahisi unatoka nje ya mapato ya klabu, zipo hisia kuwa kuna genge linaitumia klabu kutakatisha fedha. Maana kama ni udhamini lazima uwe kwenye mkataba. N.a. flow yake ieleweke!
NB:ni ushauri tu sijasema anatakatisha!Ila wanazengo tuna mashaka tu.
Wapinga rushwa tunawasilisha.
Kwa hiyo ameigeuza simba kuwa mali yake
Kwanini asifuatiliwe kwani kaiweka serikali mkononi.Hii ndio tanzania ya viwanda . Yaani hakuna kuishi kwa amani na haki hapa kiundavaundava tu.
Mshaanza kumfuatilia hongereni
Majibu ya leo ya Mo yanawachanganyaJf ya siku hizi masihara mengi hadi kwenye mambo ya msingi. Mleta uzi kauliza mambo yana msingi ila majibu anayopewa utasema mtu na mke mwenzie wana pashana
Hivi unaweza kukusanya hata tsh 1000k kutoka kwenye familia yako?Ila sijui wabongo tunakwama wapi. Hizo B20 Wanachama walikuwa wanaweza kuzikusanya kama wangetaka.
Lakini je unaweza kuwaamini viongozi ukawapa funguo la kabati yenye pesa zote hizo?
Tsh 10,000 x 1,000,000 Wanachama na mashabiki.Hivi unaweza kukusanya hata tsh 1000k kutoka kwenye familia yako?
Lekaga gete, nahene milimo.
Mlimpola bhagosha bhane!
Shalom!
Mpaka sasa hakuna anaeweza kuthibitisha kuwa MO amesha weka ile bilioni 20 kwenye account ya simba au Ile ya kampuni,sidhani hata BMT sidhani wamewahi kuthibitisha. Mzee Rage hapa karibuni amesisikika akiomba BMT audition ya kifedha ,kwenye vilabu hivi.
Maana hakuna ajuaye mapato ya klabu kwa mwaka,mikataba kama mo extra na halisi, bajeti ya usajili na gharama za uendeshaji kwa msimu uliopita. Kubwa logo ya klabu ni mkutano gani ulioidhinisha.
Kwanini tunahofu na money laundry usajili unaofanyika tunahisi unatoka nje ya mapato ya klabu, zipo hisia kuwa kuna genge linaitumia klabu kutakatisha fedha. Maana kama ni udhamini lazima uwe kwenye mkataba. N.a. flow yake ieleweke!
NB:ni ushauri tu sijasema anatakatisha!Ila wanazengo tuna mashaka tu.
Wapinga rushwa tunawasilisha.
Wapi kwa hiyo wanasimba tumemuachia kufikiri kigwangalaKumbe Kigwa ulianzia huku?