MO afuatiliwe kwa utakatishaji wa pesa

MO afuatiliwe kwa utakatishaji wa pesa

Ila sijui wabongo tunakwama wapi. Hizo B20 Wanachama walikuwa wanaweza kuzikusanya kama wangetaka.

Lakini je unaweza kuwaamini viongozi ukawapa funguo la kabati yenye pesa zote hizo?
Heshima kweli apewe.
Ila Bilioni 20 alitakiwa aziweke kwenye Simba Sports Club Company ltd. Kampuni ambayo atamiliki 49%.
 
Hakuna mwenye uhakika kuwa zile milioni 50 kila kijiji zilisha pelekwa huko wala ile 1.5trilion ilikwenda wapi. Hao wote kwa mazingira yao wachunguzwe kwa utakatidhaji fedha
Thinking out of the box
naongezea laptop kwa kila Mwalimu
Unapokuwa mwongo uwe na kumbukumbu shame kwa kijani party
 
Ila sijui wabongo tunakwama wapi. Hizo B20 Wanachama walikuwa wanaweza kuzikusanya kama wangetaka.

Lakini je unaweza kuwaamini viongozi ukawapa funguo la kabati yenye pesa zote hizo?
Hehe ... wanachama wa Simba? Hell no.
Hawawezi kukusanya hata Bilioni moja. Si wangenunua hatifungani?
Kusanyeni hizo Bil. 20 halafu mnunue hatifungani za serikali mpate faida ya 17% kwa mwaka.
 
Wako walioshindwa hata kukusanya nauli ya Mwanza kwa ndege halafu basi hadi Shinyanga. Basi lao spana mkononi. Matikiti maji chakula cha barabarani.
 
Lekaga gete, nahene milimo.

Mlimpola bhagosha bhane!

Shalom!
Mpaka sasa hakuna anaeweza kuthibitisha kuwa MO amesha weka ile bilioni 20 kwenye account ya simba au Ile ya kampuni,sidhani hata BMT sidhani wamewahi kuthibitisha. Mzee Rage hapa karibuni amesisikika akiomba BMT audition ya kifedha ,kwenye vilabu hivi.

Maana hakuna ajuaye mapato ya klabu kwa mwaka,mikataba kama mo extra na halisi, bajeti ya usajili na gharama za uendeshaji kwa msimu uliopita. Kubwa logo ya klabu ni mkutano gani ulioidhinisha.

Kwanini tunahofu na money laundry usajili unaofanyika tunahisi unatoka nje ya mapato ya klabu, zipo hisia kuwa kuna genge linaitumia klabu kutakatisha fedha. Maana kama ni udhamini lazima uwe kwenye mkataba. N.a. flow yake ieleweke!

NB:ni ushauri tu sijasema anatakatisha!Ila wanazengo tuna mashaka tu.

Wapinga rushwa tunawasilisha.

Hii ndio tanzania ya viwanda . Yaani hakuna kuishi kwa amani na haki hapa kiundavaundava tu.
Mshaanza kumfuatilia hongereni
 
Wako walioshindwa hata kukusanya nauli ya Mwanza kwa ndege halafu basi hadi Shinyanga. Basi lao spana mkononi. Matikiti maji chakula cha barabarani.
Nyie mwaka huu subirini tuwa-Tonombe tu.
 
Kelele hizo za debe tupu tumezizowea.Mwisho wake huwa wamebebwa. Defence ipi ya kuizuia Simba Shomari Kibwana,Mustafa??Msimu huu zitazidi anzeni kutafuta visingizio.
 
Lekaga gete, nahene milimo.

Mlimpola bhagosha bhane!

Shalom!
Mpaka sasa hakuna anaeweza kuthibitisha kuwa MO amesha weka ile bilioni 20 kwenye account ya simba au Ile ya kampuni,sidhani hata BMT sidhani wamewahi kuthibitisha. Mzee Rage hapa karibuni amesisikika akiomba BMT audition ya kifedha ,kwenye vilabu hivi.

Maana hakuna ajuaye mapato ya klabu kwa mwaka,mikataba kama mo extra na halisi, bajeti ya usajili na gharama za uendeshaji kwa msimu uliopita. Kubwa logo ya klabu ni mkutano gani ulioidhinisha.

Kwanini tunahofu na money laundry usajili unaofanyika tunahisi unatoka nje ya mapato ya klabu, zipo hisia kuwa kuna genge linaitumia klabu kutakatisha fedha. Maana kama ni udhamini lazima uwe kwenye mkataba. N.a. flow yake ieleweke!

NB:ni ushauri tu sijasema anatakatisha!Ila wanazengo tuna mashaka tu.

Wapinga rushwa tunawasilisha.
Utopolo mtapata tabu sana
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Jf ya siku hizi masihara mengi hadi kwenye mambo ya msingi. Mleta uzi kauliza mambo yana msingi ila majibu anayopewa utasema mtu na mke mwenzie wana pashana
 
Karl Peters wa kisomali kabebwa na watwana. Inakumbusha historia. Ujahili haujaisha.
 
Ila sijui wabongo tunakwama wapi. Hizo B20 Wanachama walikuwa wanaweza kuzikusanya kama wangetaka.

Lakini je unaweza kuwaamini viongozi ukawapa funguo la kabati yenye pesa zote hizo?
Hivi unaweza kukusanya hata tsh 1000k kutoka kwenye familia yako?
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Kumbe Kigwa ulianzia huku?

Back
Top Bottom