OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Tunataka bosi awe simba sio wa kwenye kadi aonekane simba kwelikweli,huyu azam hamjui hata KichuyaApewe Bakhresa, Dewji ni mjanja mjanja. Anaweza kununua timu kwa bilioni 1.5 kisha akatangaza kuwa ni bil. 20
Una matatizo? HKT na HWTZ ndo nini na io comment yangu umeielewa vizri kabisa?.. kama huajielewa isome tena isije kuwa namuelewesha bashiteMkuu HKT zote ni zipo chini ya HWTZ
Km ilivyo kwa Polisi zote zipo chini ya Polisi Tz
Labda ungeleta fact zingine
Unajuazabuni mkuu?Ninachojua ni siku kumi zimetolewa wajitokeze
Mo ataongeza dau maana hizo siku ni nyingi watajitokeza wengi sana
Haziruhu hats FIFA hawaruhusu,kuepuka kupanga matokeoKanuni zinaruhusu timu mbili za ligi kumilikiwa na mtu m1?
π π π π π π π³ πUna matatizo? HKT na HWTZ ndo nini na io comment yangu umeielewa vizri kabisa?.. kama huajielewa isome tena isije kuwa namuelewesha bashite
Hizi habari nani katoa?kizabuni hawatakiwi kufungua mpaka tarehe ya mwisho zitasomwa kwa wazabuni,hii inakuwa faida kwa wazabuni wanaondelea kupelekaUnajuazabuni mkuu?
Dau haliongezwi zikishatumwa wala kubadilishwa
Hiyo sio biashara ya nyanya gengeni
Ndio wajue kuwa bakhresa hawez kupewa timu otherwise wacheze rafu na tff na haiwez kudumu yanga watawaumbua, ama bakresa aiache azam.Haziruhu hats FIFA hawaruhusu,kuepuka kupanga matokeo
Ndio hivyo ni habari tu ya kiumbeaHizi habari nani katoa?kizabuni hawatakiwi kufungua mpaka tarehe ya mwisho zitasomwa kwa wazabuni,hii inakuwa faida kwa wazabuni wanaondelea kupeleka
TFF ilipiga marufuku mmiliki mmoja kuwa na timu mbiliNdio wajue kuwa bakhresa hawez kupewa timu otherwise wacheze rafu na tff na haiwez kudumu yanga watawaumbua, ama bakresa aiache azam.
TFF ilipiga marufuku mmiliki mmoja kuwa na timu mbilisi dhani kama fifa wanaruhusu mmiliki mmoja kuwa na team mbili zinazo cheza league moja!ndo maana hata team za majeshi zinatakiwa kuwa moja tu!
TFF ilipiga marufuku mmiliki mmoja kuwa na timu mbiliMO anastahili....Bakhresa akichukua Simba mchezo kati ya Azam na Simba hautakuwa wa kuvutia...............
So Simba wateme Big G kwa karanga za kuonjeshwa au siyo?Mo arudishiwe iyo Billion 1 yake then mchakato uendelee.
kwan hisa zimeanza kuuzwa lin?π π π π π π bakhresa nae siku zote alikuwa wapi?
hiyo sio tenda mkuu.Kwenye tenda kigezo sio pesa peke yake hiyo ni kimojawapo bado aliteoa kidogo anaweza kushinda kwa kungalia hivyo vigezo vingine
kwan bhakresa anatimu?Sheria haziruhusu mmiliki mmoja kuwa na timu zaidi ya moja
Hii itakuwa ngumu sana zaidi ya kuchukuliwa na Mo tu
ananunua mtoto wakeSheria za TFF zilikuwa kimyaa ila juzi kaat walisema tasisi hailusiw kuwa na tim mbili kweny ligi.
kwan bhakhresa anamiliki timu au kampun ya azam?Kanuni zinaruhusu timu mbili za ligi kumilikiwa na mtu m1?
Hzo hela kazipata wap