Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Mo apata changamoto, Bakhresa atoa dau bilioni 25 kuinunua Simba SC

Status
Not open for further replies.
Apewe Bakhresa, Dewji ni mjanja mjanja. Anaweza kununua timu kwa bilioni 1.5 kisha akatangaza kuwa ni bil. 20
Tunataka bosi awe simba sio wa kwenye kadi aonekane simba kwelikweli,huyu azam hamjui hata Kichuya
 
Mkuu HKT zote ni zipo chini ya HWTZ
Km ilivyo kwa Polisi zote zipo chini ya Polisi Tz

Labda ungeleta fact zingine
Una matatizo? HKT na HWTZ ndo nini na io comment yangu umeielewa vizri kabisa?.. kama huajielewa isome tena isije kuwa namuelewesha bashite
 
Ninachojua ni siku kumi zimetolewa wajitokeze
Mo ataongeza dau maana hizo siku ni nyingi watajitokeza wengi sana
Unajuazabuni mkuu?
Dau haliongezwi zikishatumwa wala kubadilishwa

Hiyo sio biashara ya nyanya gengeni
 
Unajuazabuni mkuu?
Dau haliongezwi zikishatumwa wala kubadilishwa

Hiyo sio biashara ya nyanya gengeni
Hizi habari nani katoa?kizabuni hawatakiwi kufungua mpaka tarehe ya mwisho zitasomwa kwa wazabuni,hii inakuwa faida kwa wazabuni wanaondelea kupeleka
 
Sheria haziruhusu mmiliki mmoja kuwa na timu zaidi ya moja


Hii itakuwa ngumu sana zaidi ya kuchukuliwa na Mo tu
kwan bhakresa anatimu?
kampuni ndio yenye timu, azam ni group of companies, yeye ni mmoja wa wamiliki
 
Kumruhusu Bakhresa kuwejeza ktk Simba fc ni kuiua simba ktk mambo yafuatayo;
1, Comflict of interest btn Azam and Simba fc
2, Separation of fans from A to B and Viceversa.
 
Yaani hii ni thread iliyopo jukwaa la sports na wadau wanavotiririka kuchangia hii mada yaonesha wazi ni namna gani bado watu wengi ni mbumbumbu katika maswala ya soka.
Yaani watu hamjui lolote kuhusu CLUB LICENSING!???
Eti Bakhressa amebid kuinunua Simba na nyinyi mnaamini wakati tayari ana umiliki wa Azam FC.

Timu za majeshi huko daraja la chini zimeshaanza kubinafsishwa, majuzi Simba Sc alikuwa Dodoma kucheza friend match na Dodoma Football Club (DFC) ambapo ilikuwa ikiitwa Polisi Dodoma FC.

Na kuna timu nyingine ya majeshi nayo imebinafsishwa inaitwa Biashara FC sikumbuki ilikuwa Polisi ya mkoa gani.

Ila kifupi habari ndio, hakuna tena 'ruksa' kwa taasisi, mtu, kampuni kuwa na umiliki wa timu zaidi ya moja katika soka la nchi husika!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom