Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

Watu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?

Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?

Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??

Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..
Kweli kabisa
 
Wanabodi,

Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are we still importing food, edible oil?!, akapiga na nyundo "unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large investment in agriculture" . Wito kwa serikali yetu, tusisubiri tuu kuwa reactive, sometimes we have to be pro active, Bashe aisikilize hii interview, amuite Dewji na kumpeleka kwa Mama, Dewji amsaidie Bashe, Mama na Watanzania, to formulate hizo "the right framework and policies to deal with large investment in agriculture", halafu tukishindwa ku implement, ndipo awaite CNN na kuwaeleza hayo!.

Huyu jamaa apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Hongera Sana Mo Dewji!
Paskali

utajiri wake unatuhusu nn ikiwa yy na familia yake wanatajirika? huyu anatufanya ngozi nyeusi kuwa watumwa kwenye maviwanda yake kwa ujira wa5000 kwa siku na unafanya kaz kutwa nzima huyo n mnyonyaji wa jasho la wanyonge wenye dhiki.sheria za kazi n masaa nane ila kwake utahenyeshwa masaa 12.
 
Paskali, Mudy is not a real investor in agri-business and he had not been be a right person in transformation of agri-sector which led to leave a landmark in agri-economy in Tanzania settings.

Amewahi kupewa mashamba ya mkonge ili alone zaidi na kuweka machinery za kuchakata nyuzi za katani (sisal fibres); alitumia mashamba yale kama dhamana ya kukopa na kuzungushia fedha za mkopo kwenye trading badala ya kuendeleza shamba la katani. Toka enzi ya Mpaka mpaka akaja kunyang'anywa enzi ya Mwamba.

Haaminiki kama mkulima wa kibiashara ndio maana hakupewa shamba kubwa alime kama Bakhresa alivyopewa shamba na Mwamba alime miwa ili azalishe sukari.

Mudy ni tajiri ila ana (janja-janja) sana. Hata akiajiri professionals ana mazongezonge kwenye kuwalipa, rejea alishindwana na Senzo, mpaka Zenzo akatimkia Jangwani.

Kuna watu waafrika/wazungu wamewekeza kwenye mashamba kibiashara ikiwa ni chai, maua, vegetables, kahawa, cocoa na more huko Mudy hayupo.

Mudy ni mfanyabiashara/mwanasihasa ambae anahubiri fuateni maneno yangu na sio matendo yangu.

Yesu anasema matendo yanazungumza kuliko maneno,...(Kama hamuamini, mimi ni Mwana wa Mungu, ziaminini KAZI, ninazozifanya).

Mudy hana intensive agri-investment ili aweze kuwa na moral authority ku-challenge policy na framework. Kama ipo pahala, naomba ioneshwe.

Japo suala la framework na policy ina shida na ilitakiwa tumwone akiwa kwenye groundwork aseme kwa facts kinachoendelea kwenye agri-investments.

FM
Out of Chuki.....
Huna mifano mengine mpaka utumie Ya simba na Yanga?
Hayupo? Sikulijua hili....
Kumbe aliporwa mashamba? Sikulijua hili.
Hana mashamba makubwa? Sikulijua hili
Hata yale ya chai sio makubwa? Sikujua hili pia.

Ila jambo ambalo nna uhakika nalo ni kuwa unamchukia. Kumchukia hakuta kusaidia chochote.
 
Wanabodi,

Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are we still importing food, edible oil?!, akapiga na nyundo "unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large investment in agriculture" . Wito kwa serikali yetu, tusisubiri tuu kuwa reactive, sometimes we have to be pro active, Bashe aisikilize hii interview, amuite Dewji na kumpeleka kwa Mama, Dewji amsaidie Bashe, Mama na Watanzania, to formulate hizo "the right framework and policies to deal with large investment in agriculture", halafu tukishindwa ku implement, ndipo awaite CNN na kuwaeleza hayo!.

Huyu jamaa apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Hongera Sana Mo Dewji!
Paskali

yeye si mfanyabiashara kwa nini asiwekeze huko kwenye kilimo?pia la kusema we do'nt have framework and policies sio kweli.we have framework and policies ndo maana unaona watu wamewekeza kwenye kilimo cha miwa,mpunga,ngano nk.labda hajasoma sera za kilimo.tatizo la huyu jamaa ni showcaseman na anapenda sana kucheza na media ili aonekane kuwa ana mpunga sana.labda nitakubaliana naye kama angesema au angeishauri serikali iongeze nguvu kupromote large scale agriculture hasa kwa waekezaji kutoka nje ya nchi.halafu aishauri basi serikali ifanye nn kwenye kilimo badala ya kuongea general issues,aseme nn kifanyike pamoja na kuwa na ardhi nzuri na kubwa kwa ajili ya kilimo.aseme serikali ifanye nini ili wawekezaji wakubwa waje kuwekeza kwenye mashamba makubwa ya kilimo hasa cha mazao ya chakula.
 
utajiri wake unatuhusu nn ikiwa yy na familia yake wanatajirika? huyu anatufanya ngozi nyeusi kuwa watumwa kwenye maviwanda yake kwa ujira wa5000 kwa siku na unafanya kaz kutwa nzima huyo n mnyonyaji wa jasho la wanyonge wenye dhiki.sheria za kazi n masaa nane ila kwake utahenyeshwa masaa 12.
Adui wa mtu mweusi ni mtu mweusi mwenyewe kamanda

Ova
 
Out of Chuki.....
Huna mifano mengine mpaka utumie Ya simba na Yanga?
Hayupo? Sikulijua hili....
Kumbe aliporwa mashamba? Sikulijua hili.
Hana mashamba makubwa? Sikulijua hili
Hata yale ya chai sio makubwa? Sikujua hili pia.

Ila jambo ambalo nna uhakika nalo ni kuwa unamchukia. Kumchukia hakuta kusaidia chochote.
aliporwa sababu alikuwa hayaendelezi.unajua wahindi wengi hawawekezi kwenye kilimo bali wao wanataka kulangua tu kwa bei ndogo kutoka kwa wakulima wadogo.wanapenda sana kuwadhulumu wakulima wadogo lkn wao hawawekezi huko kwenye kilimo.
 
Unamchukiaje mtu ambae hamjawahi kuonana au kugombania common interest??

Chuki ni hisia. Kama una facts dhidi ya hoja nilizotoa, weka jukwaani usomeke. Ila unapoweka hoja za chuki au kupendwa, hiyo ni hisia.
JF ni jukwaa la great thinkers.

Nikukumbushe, wakati mmoja Mudy alimkaribisha JPM kuzindua plant yake ya kuchakata ngano, akapewa challenge, kwanini asiombe apewe shamba la kulima ngano Manyara na badala ya kutegemea imported wheat?
 
Wanabodi,

Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are we still importing food, edible oil?!, akapiga na nyundo "unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large investment in agriculture" . Wito kwa serikali yetu, tusisubiri tuu kuwa reactive, sometimes we have to be pro active, Bashe aisikilize hii interview, amuite Dewji na kumpeleka kwa Mama, Dewji amsaidie Bashe, Mama na Watanzania, to formulate hizo "the right framework and policies to deal with large investment in agriculture", halafu tukishindwa ku implement, ndipo awaite CNN na kuwaeleza hayo!.

Huyu jamaa apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Hongera Sana Mo Dewji!
Paskali
Mimi huwa nakumbuka alivyotekwa na Makonda siku ile 'alipopatikana' polisi wakaenda nyumbani kwake na Azim Dewji akawa anamshukuru Magu kurudi kwa Mo wakati tunaambiwa aliibuka tu akajikuta yuko viwanja vya Gymkhana.
Wonders shall never end.
 
Tatizo products zake ni za kiwango cha chini sana na photocopy ya ubunifu wa makampuni mengine.

Kwa mfano MO matchbox hamna viberiti pale na photocopy ya Tinga matchbox made in Kenya, MO B29 hamna sabuni pale na ni photocopy ya B29 halisi, Mo energy drink amekopy toka azam, Safi cooking oil, Taifa powder soap ameiga toka NETAX na mbaya zaidi anaiga hadi vifungashio na rangi
Yaan kama hiyo match box ndio ovyo kabisa, njiti hazina uimara sijui wanatumia miti gani, yaan hadi Kenya wanatupita. Njiti unaiwasha hata haijawaka kimeshavunjika yaan ovyo tu
 
Watu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?

Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?

Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??

Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..
Wewe unaongozwa na chuki.

Sasa ulitaka waajiriwe na nani hao watu 38,000?
Kwani umezuiwa kuwa dalali?
 
Anayoyafanya Mo yote ndio haswa maisha na tabia za matajiri wakubwa.
Nitajie tajiri mmoja anayelipa mishahara mizuri lakini asiwe MZUNGU.
Kiwango kilichowekwa ni kiwango ambacho serikali imekiweka. Tatizo ni serikali
 
aliporwa sababu alikuwa hayaendelezi.unajua wahindi wengi hawawekezi kwenye kilimo bali wao wanataka kulangua tu kwa bei ndogo kutoka kwa wakulima wadogo.wanapenda sana kuwadhulumu wakulima wadogo lkn wao hawawekezi huko kwenye kilimo.
Na mashamba ya chai aliporwa?
 
Tatizo products zake ni za kiwango cha chini sana na photocopy ya ubunifu wa makampuni mengine.

Kwa mfano MO matchbox hamna viberiti pale na photocopy ya Tinga matchbox made in Kenya, MO B29 hamna sabuni pale na ni photocopy ya B29 halisi, Mo energy drink amekopy toka azam, Safi cooking oil, Taifa powder soap ameiga toka NETAX na mbaya zaidi anaiga hadi vifungashio na rangi
Kuiga hakuna ubaya wowote ule.
 
Back
Top Bottom