Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

Huyu dogo anaitwa Mo ni fala na mbinafsi.Kahonga pesa serikalini na bandarini vitenge vizuiwe ili auze vya kwake Kwa bei juu.Sasa kama ana bidhaa mzuri na yeye pamba ananunua Simiyu tu hapo anashindwaje kuuza bidhaa zake bei rafiki ya Mtanzania. Sasa anashindana na wachuuzi na kuuwa mitaji yao kariakoo huyu ana roho mbaya sana.
 
Wanabodi,

Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are we still importing food, edible oil?!, akapiga na nyundo "unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large investment in agriculture" . Wito kwa serikali yetu, tusisubiri tuu kuwa reactive, sometimes we have to be pro active, Bashe aisikilize hii interview, amuite Dewji na kumpeleka kwa Mama, Dewji amsaidie Bashe, Mama na Watanzania, to formulate hizo "the right framework and policies to deal with large investment in agriculture", halafu tukishindwa ku implement, ndipo awaite CNN na kuwaeleza hayo!.

Huyu jamaa apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Hongera Sana Mo Dewji!
Paskali

Rubbish
 
"..... ndiyo yake" by Pascal Mayalla, 2023.
 
Watu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?

Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?

Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??

Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..

Swala la mishahara ni la Kiserikali, serikali ndio inapanga mishahara kote sekta ya umma na binafsi.
Sekta ya binafsi tumekua na wage order ya mwaka 2013 ambayo imebadilishwa 2022, November.
Yet tusisahau formula za utajiri ni ubepari tu na ndio maana makampuni makubwa ya US na kwingineko yana plants in China why? Only there is cheap labour.
Provided havunji Sheria asonge tu.
Jukumu letu ni kuishawishi Serikali kutengeneza wage order ambayo mtu atalipwa vizuri sio kuwasema wanaotekeleza muongozo wa serikali.
 
Huyu dogo anaitwa Mo ni fala na mbinafsi.Kahonga pesa serikalini na bandarini vitenge vizuiwe ili auze vya kwake Kwa bei juu.Sasa kama ana bidhaa mzuri na yeye pamba ananunua Simiyu tu hapo anashindwaje kuuza bidhaa zake bei rafiki ya Mtanzania. Sasa anashindana na wachuuzi na kuuwa mitaji yao kariakoo huyu ana roho mbaya sana.
Enzi za Nyerere, Tanzania tulikuwa na viwanda 6 vya nguo na vyote vilikuwa vinatumia pamba yeti vikiongozwa na Urafiki cha Dar es Salaam na Sungura Tex, Mwanza tulikuwa na Mwatex, Musoma Mutex, Morogoro Canvas, Kilimanjaro Kilitex, Arusha ABC.

Viwanda vyote hivi vilitumia pamba yetu. Baada ya vita vya Kagera ile 1979 kukatokea mdororo wa uchumi, Mwalimu Nyerere akatangaza miezi 18 ya kukaza mikanda, kufikia mwaka 1982, 83, hali ikawa mbaya zaidi, viwanda vikashondwa kuzalisha, kukatokea scarcity ya bidhaa muhimu kila kitu kwa ration na kwa foleni. Chakula tukapewa msaada wa mahindi ya njano ambayo ni chakula cha farasi. Uniform nchi nzima ilikuwa kutumia kutambua cha madurufu, reject!, watu walivaa juke na sandarusi!.

Kukaibuka kada ya racketeering na saboteurs ambapo, Sokoine akiwakomesha!. Wahujumu uchumi walishikwa wakasundwa mahabusu, tukatunga sheria ya uhujumu!, ambazo zilikuwa retroactive
tukawahukumu, tukawafilisi na kuwafunga!.

IMF na WB wakakubali kutukopesha kwa masharti ya kuruhusu market economy na wakatuletea mipango wa SAP. Nyerere akakataa!. Kufika 1984 nchi ikamshinda kabisa mwisho ataua watu wake!. Ndipo akaamua kuliko kukubali kwa kugeuka nyuma na kugeuka jiwe, akaamua bora ang'atuke ndipo akampisha Mwinyi aliyekubali kila kitu, na kuitwa Mzee wa Rukhsa.

Sasa Tanzania ikawa gulio la ku import kila kitu, ikatokea cheap low quality imported products can't compete with locally produced products hivyo viwanda vyetu vikafa!, Watanzania tukavaa mitumba!.

Mkapa alipoingia akaja na sera ya ubinafsishaji viwanda vyetu vyote vikabinafshishwa. Waliobigdhishiwa wakajikuta its cheap kuagiza cheap imported from China kuliko kuzalisha.

Tanzania sasa ikawa soko la cheap imports at the expense of viwanda vyetu!. Tumeendelea hivyo kipindi cha JK impaka alipoingia mwamba na Tanzania ya viwanda tukaanza sera ya kulinda viwanda vyetu vya ndani kwa ku heavily tax the cheap imports. Hiki ndicho kinachofanyika kwa mtu yoyote anayeweza kuzalisha bidhaa za mlaji locally, kushindana na cheap imports, imports zitakuwa heavily taxed ili kulinda viwanda vyetu!. Hivyo Mo anayezalisha kanga kwa pamba yetu, hawezi kushindana na cheap imports za China, na wakipingwa punitive tax wanagoma.

Watanzania wenye viwanda locally walindwe na kupewa kila aina ya ushirikiano.
P
 
Tatizo products zake ni za kiwango cha chini sana na photocopy ya ubunifu wa makampuni mengine.

Kwa mfano MO matchbox hamna viberiti pale na photocopy ya Tinga matchbox made in Kenya, MO B29 hamna sabuni pale na ni photocopy ya B29 halisi, Mo energy drink amekopy toka azam, Safi cooking oil, Taifa powder soap ameiga toka NETAX na mbaya zaidi anaiga hadi vifungashio na rangi
Ni vitu vya kawaida katika biashara

Mpesa ingekuwa yenyewe, kusingekuwa na tigo pesa wa airtel money

Ttcl ingekuwa yenyewe kusingekuwa na airtel vodacom tigo wala halotel

Cocacola ingebaki yenyewe kusingekuwa na cola, Pepsi nk

ITV ya uingereza ingekuwa yenyewe lakini kuna ITV mpaka Tanzania

Una takiwa kuelewa ulimwengu wa biashara ulivyo...
 
Wanabodi,

Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are we still importing food, edible oil?!, akapiga na nyundo "unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large investment in agriculture" . Wito kwa serikali yetu, tusisubiri tuu kuwa reactive, sometimes we have to be pro active, Bashe aisikilize hii interview, amuite Dewji na kumpeleka kwa Mama, Dewji amsaidie Bashe, Mama na Watanzania, to formulate hizo "the right framework and policies to deal with large investment in agriculture", halafu tukishindwa ku implement, ndipo awaite CNN na kuwaeleza hayo!.

Huyu jamaa apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Hongera Sana Mo Dewji!
Paskali

Paskali, Mudy is not a real investor in agri-business and he had not been be a right person in transformation of agri-sector which led to leave a landmark in agri-economy in Tanzania settings.

Amewahi kupewa mashamba ya mkonge ili alone zaidi na kuweka machinery za kuchakata nyuzi za katani (sisal fibres); alitumia mashamba yale kama dhamana ya kukopa na kuzungushia fedha za mkopo kwenye trading badala ya kuendeleza shamba la katani. Toka enzi ya Mpaka mpaka akaja kunyang'anywa enzi ya Mwamba.

Haaminiki kama mkulima wa kibiashara ndio maana hakupewa shamba kubwa alime kama Bakhresa alivyopewa shamba na Mwamba alime miwa ili azalishe sukari.

Mudy ni tajiri ila ana (janja-janja) sana. Hata akiajiri professionals ana mazongezonge kwenye kuwalipa, rejea alishindwana na Senzo, mpaka Zenzo akatimkia Jangwani.

Kuna watu waafrika/wazungu wamewekeza kwenye mashamba kibiashara ikiwa ni chai, maua, vegetables, kahawa, cocoa na more huko Mudy hayupo.

Mudy ni mfanyabiashara/mwanasihasa ambae anahubiri fuateni maneno yangu na sio matendo yangu.

Yesu anasema matendo yanazungumza kuliko maneno,...(Kama hamuamini, mimi ni Mwana wa Mungu, ziaminini KAZI, ninazozifanya).

Mudy hana intensive agri-investment ili aweze kuwa na moral authority ku-challenge policy na framework. Kama ipo pahala, naomba ioneshwe.

Japo suala la framework na policy ina shida na ilitakiwa tumwone akiwa kwenye groundwork aseme kwa facts kinachoendelea kwenye agri-investments.

FM
 
Magwiji wa Import/Export

naanza kuunganisha vjidoti vya uzi lukuki zanazohusiana na Mh. Bashe na upo uwezekano havihusiani lakini...

Hayo ma femewoki sijui yanawezaje kumsaidia mkulima wa Nazi wa Miaka nenda rudi Tanzania ambaye hata gari ndio kwanza amepata uzeeni. Kachoka. Hawezi kugema ulanzi wake kwa raha kwa sababu ya hayo hayo ya mafemiwoki yaliyowakandamiza kwa muda mirefu sana. Kwa kweli sijui ni nani nitakeye msujudu bila ya kuonekana nipo kimlengo mlengo.
Kitaeleweka tu
Sikiliza interview uelewe.
 
Huyu dogo anaitwa Mo ni fala na mbinafsi.Kahonga pesa serikalini na bandarini vitenge vizuiwe ili auze vya kwake Kwa bei juu.Sasa kama ana bidhaa mzuri na yeye pamba ananunua Simiyu tu hapo anashindwaje kuuza bidhaa zake bei rafiki ya Mtanzania. Sasa anashindana na wachuuzi na kuuwa mitaji yao kariakoo huyu ana roho mbaya sana.
Kwanini Uimport kitu kinachozalishwa ndani?
 
Back
Top Bottom