Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Akili za mavi hiziBut he doesnt look like 98% ya Watanzania, …
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za mavi hiziBut he doesnt look like 98% ya Watanzania, …
Sio wahindi pekee ni waarabu, wahindi na ngozi nyeusi...waafrika.Ukishasema asiwe Mzungu...
Mengi alikuwa analipa afadhali..
Dangote sina uhakika ila sidhani Kama ananyonya kama hawa wahindi...
Usiseme matajiri wote ..sema wahindi wote
Mbona unaongea kama ww ni newbie hapa duniani chief.Watu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?
Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?
Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??
Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..
Kuwalaani? Acha utani wewe, Pascal anapenda familia yake 🤣Mkuu Pascal, umemsifia sana Mo, nijambo jema na anastahili, lakini.
umeshindwa hata kuwalaani wale waliomfanyia tukio la kumteka tajiri no1, na kumvisha kipande cha khanga, na hadi leo hakuna kesi ya maana iliyofunguliwa, zaidi ya mapicha picha ya Mzee Siro na Mambosasa,
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Umri alikuwa nao sio wa kuogopa, afanye jambo aache legacy, sio anaishia kuitwa Mayala njaa,Kuwalaani? Acha utani wewe, Pascal anapenda familia yake [emoji1787]
[emoji106][emoji106]Watu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?
Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?
Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??
Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..
Kuongea na kutenda ni vitu viwili havifanani!Ume summarise vixuri sana mkuu. Big up
Jamaa anaongea kimikakati hasa, hata Aliko Dangote haongei as strategic as this jamaa
GSM nao vp mkuu [emoji1]Mo ni mooooh tapeli kama matapeli wengine nasubilia hoja ya Haji manara
USSR
Tatizo products zake ni za kiwango cha chini sana na photocopy ya ubunifu wa makampuni mengine.
Kwa mfano MO matchbox hamna viberiti pale na photocopy ya Tinga matchbox made in Kenya, MO B29 hamna sabuni pale na ni photocopy ya B29 halisi, Mo energy drink amekopy toka azam, Safi cooking oil, Taifa powder soap ameiga toka NETAX na mbaya zaidi anaiga hadi vifungashio na rangi
udiniWatu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?
Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?
Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??
Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..
Udini umeingia wapi?udini
Mo alijiridhisha kuwa Kigwangala asingeweza kurudisha mkopo wa bodaboda alizoomba.Dr Kigwangalla anahoji zilipo 20 bilioni za Simba SC
Namna ulivyomalizia inatia walakini....apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Haufanani nae huyo GSM hata kidogo kwa lolote lileGSM naye alifanyiwa mahojiano na Mpenja TV siku ya birthday yake
Wanabodi,
Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are we still importing food, edible oil?!, akapiga na nyundo "unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large investment in agriculture" . Wito kwa serikali yetu, tusisubiri tuu kuwa reactive, sometimes we have to be pro active, Bashe aisikilize hii interview, amuite Dewji na kumpeleka kwa Mama, Dewji amsaidie Bashe, Mama na Watanzania, to formulate hizo "the right framework and policies to deal with large investment in agriculture", halafu tukishindwa ku implement, ndipo awaite CNN na kuwaeleza hayo!.
Huyu jamaa apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Hongera Sana Mo Dewji!
Paskali