Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

Ukishasema asiwe Mzungu...
Mengi alikuwa analipa afadhali..
Dangote sina uhakika ila sidhani Kama ananyonya kama hawa wahindi...
Usiseme matajiri wote ..sema wahindi wote
Sio wahindi pekee ni waarabu, wahindi na ngozi nyeusi...waafrika.

Mengi ni ubabaishaji ulele tu, nina dogo yupo pale zaidi ya miaka 10.

Ukiambiwa mishahara ya Watangazaji hutaamini....na siku hizi wafanyakazi wa IPP ndio shida zaidi watu wanadai mishahara zaidi ya miezi 3.

Dangote ni wale wale bila shaka ulisikia migomo ya wafanyakazi mwaka jana.

Pekee Wazungu ukiajiriwa nao ukifa masikini utakuwa ujinga wako.
Hawa jamaa wanajali maslahi ya wafanyakazi kwa kiasi kikubwa, japo kuna wazungu makanjanja pia.
 
Watu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?

Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?

Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??

Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..
Mbona unaongea kama ww ni newbie hapa duniani chief.

Matajiri wanalipa vzr tu whitecollar jobs, hao wa chini hawana time nao. Iko hvo toka time immemorial.

Na wanaowasifia wazungu ni kwa sababu wazungu wanaajiri professions za juu kdg, ya chini kabisa inaweza kuwa dereva, ila hawa wanaoajiri hadi professions za chinichini nao ni wale wale tu coz wanajua mtu wa level hio hawezi kataa hela hata kama haitoshi kwa kazi yake.
 
Mkuu Pascal, umemsifia sana Mo, nijambo jema na anastahili, lakini.
umeshindwa hata kuwalaani wale waliomfanyia tukio la kumteka tajiri no1, na kumvisha kipande cha khanga, na hadi leo hakuna kesi ya maana iliyofunguliwa, zaidi ya mapicha picha ya Mzee Siro na Mambosasa,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Kuwalaani? Acha utani wewe, Pascal anapenda familia yake 🤣
 
Kuwalaani? Acha utani wewe, Pascal anapenda familia yake [emoji1787]
Umri alikuwa nao sio wa kuogopa, afanye jambo aache legacy, sio anaishia kuitwa Mayala njaa,
Mzee mzima kuimba mapambio haipendezi, kibaya zaidi wanamkaushia kama hawamwoni hapati hata teuzi,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Watu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?

Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?

Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??

Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..
[emoji106][emoji106]
 
Ni kweli CCM imeshindwa kuweka mazingira ya kuwezesha uwekezaji mkubwa baada ya kuwa nchi ya chama kimoja kwa miaka 62.

Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan sasa akiwa ndiyo rais ameyaona hayo na kuchukua hatua za maridhiano na katiba mpya ili nchi nchi ifunguke lakini wahafidhina ndani ya chama chake wanaleta mkwamo na kuburuza miguu mabadiliko chanya yatakayo wezesha mazingira ya uwekezaji mkubwa kutokea.

Yote kwa yote mazungumzo ya maridhiano na katiba mpya ndiyo ufunguo wa imani kutokea kwa wote, mikopo kutolewa bila kuangalia umevaa shati la kijani hata kwa mikopo ya ngazi ya chini ktk vitongoji ili vijana kujiajiri na kuingia ktk biashara wakiwa wamemaliza chuo kikuu au sekondari kwa wote ili ndoto yao ya kuwa kama MO au A. Dangote ipatikane.

Mazingira ya fursa sawa bila kujali vyama ndiyo litaiokoa nchi hii kuweza kutumia rasilimali kubwa zaidi yenye nguvu yaani rasilimali watu wenye bongo za kufanya shughuli kubwa zote iwe kutumia kilimo cha kumwagilia kwa kutumia maji ya ziwa victoria kule visiwa vya Ukerewe na Ukara ambapo wanalia njaa na ukame lakini wamezungukwa na ziwa kubwa la maji baridi. Tanzania kuwa mzalishaji mkubwa wa kilimo na kulisha dunia kama ilivyo Ukraine inawezekana. Bado kule mwambao wa ziwa Tanganyika kuanzia Kigoma hadi Kalambo pia Kyela hadi mpaka wa Malawi na Mozambique ktk mwambao wa ziwa Nyasa.

Viwanda vya uvuvi Tanzania iwe nchi inayoongoza kwa kuvua samaki na kusindika kuifikia nchi ya Portugal ambayo kuna wakati iliongoza kwa kuwa na viwanda vingi na kuwa mzalishaji wa samaki kule ulaya. Wawekezaji wakubwa wa ndani kuingia sekta ya viwanda vya samaki ni fursa nyingine.

Eneo jingine ni mifugo na mazao yake yatokanayo ya mifugo mambo yakiwekwa vizuri viwanda vya nyama, mikoba, viatu, mikanda ya viunoni n.k zinaweza kuanzishwa, Tanzania ni ya pili kwa kuwa na idadi kubwa ya ngombe Afrika. Sekta hii ikiratibiwa kutenga maeneo makubwa ni mikoa gani iwe ya ufugaji wa kisasa yenye ranchi za maelfu ya ekari huku huduma za ma vetenari kuangalia afya za wanyama na matibabu pia kinga hilo linawezekana. Nchini Botswana ufugaji wa kisasa usio na mapigano ya wakulima na wafugaji baada ya kurasimisha maeneo maalum makubwa toshelezi ya kilimo na ufugaji inawezekana badala ya huu wa holela unaoleta msuguano wa kijima baina ya wakulima na wafugaji hivyo kuzuia Tanzania kutumia fursa hii kubwa kisawa sawa.
 
Tatizo products zake ni za kiwango cha chini sana na photocopy ya ubunifu wa makampuni mengine.

Kwa mfano MO matchbox hamna viberiti pale na photocopy ya Tinga matchbox made in Kenya, MO B29 hamna sabuni pale na ni photocopy ya B29 halisi, Mo energy drink amekopy toka azam, Safi cooking oil, Taifa powder soap ameiga toka NETAX na mbaya zaidi anaiga hadi vifungashio na rangi

Wewe umeiga kipi ambacho kipo kwenye industry??
 
Watu mbona mnazungumza kama mmepagawa? Huyu Mo anaelipa mishahara laki na 50 ..?amsaidie mama kwenye nini.?

Huyu Mo ambae mpaka Leo Simba wanauliza bilioni 20 ziko wapi?

Mo huyu anae kopi bidhaa za wenzake Hadi anashtakiwa na kushindwa Kesi mahakamani??

Mo ni mchuuuzi Tu kama sio dalalali...
Mpigieni debe aendelee kuwachuuza..
udini
 
...apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Namna ulivyomalizia inatia walakini.

Naunga mkono maendeleo ya mtu binafsi, lakini maendeleo hayo yanufaishe jamii yake na Taifa kwa ujumla. Yaani Ile kitu tunaita 'kwa maslahi ya Taifa' kipewe uzito zaidi kuliko ' kwa maslahi ya kuwa tajiri namba moja Tanzania na namba 2 Africa nyuma ya Aliko'.

Mimi nitafurahi sana Hata akiwa tajiri Namba moja Duniani kikubwa Ile kitu ya " kwa maslahi ya Taifa'" lazima izingatiwe.
 
Magwiji wa Import/Export

naanza kuunganisha vjidoti vya uzi lukuki zanazohusiana na Mh. Bashe na upo uwezekano havihusiani lakini...

Hayo ma femewoki sijui yanawezaje kumsaidia mkulima wa Nazi wa Miaka nenda rudi Tanzania ambaye hata gari ndio kwanza amepata uzeeni. Kachoka. Hawezi kugema ulanzi wake kwa raha kwa sababu ya hayo hayo ya mafemiwoki yaliyowakandamiza kwa muda mirefu sana. Kwa kweli sijui ni nani nitakeye msujudu bila ya kuonekana nipo kimlengo mlengo.
Kitaeleweka tu
 
Wanabodi,

Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are we still importing food, edible oil?!, akapiga na nyundo "unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large investment in agriculture" . Wito kwa serikali yetu, tusisubiri tuu kuwa reactive, sometimes we have to be pro active, Bashe aisikilize hii interview, amuite Dewji na kumpeleka kwa Mama, Dewji amsaidie Bashe, Mama na Watanzania, to formulate hizo "the right framework and policies to deal with large investment in agriculture", halafu tukishindwa ku implement, ndipo awaite CNN na kuwaeleza hayo!.

Huyu jamaa apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Hongera Sana Mo Dewji!
Paskali

maisha sio rahisi ivo kijana, ardhi ni utajiri mkubwa sana, unaangalie leo ila kesho wapo wanaotaka ardhi kwa ajili ya kilimo bora zaidi ila sasa ndo ushamuuzia mo kilakitu
 
Back
Top Bottom