HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 70,791
- 98,334
Watanzania wana chuki sanaIga hata kimoja Basi ama ubuni kidogo ili pride yako iwe juu Kama sio ego. Unaongea kumshusha ego Naona . Human behaviors and saikolojia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watanzania wana chuki sanaIga hata kimoja Basi ama ubuni kidogo ili pride yako iwe juu Kama sio ego. Unaongea kumshusha ego Naona . Human behaviors and saikolojia
Mi naona yuko sawaHuyu dogo anaitwa Mo ni fala na mbinafsi.Kahonga pesa serikalini na bandarini vitenge vizuiwe ili auze vya kwake Kwa bei juu.Sasa kama ana bidhaa mzuri na yeye pamba ananunua Simiyu tu hapo anashindwaje kuuza bidhaa zake bei rafiki ya Mtanzania. Sasa anashindana na wachuuzi na kuuwa mitaji yao kariakoo huyu ana roho mbaya sana.
Umeongea la maana mnoNi vitu vya kawaida katika biashara
Mpesa ingekuwa yenyewe, kusingekuwa na tigo pesa wa airtel money
Ttcl ingekuwa yenyewe kusingekuwa na airtel vodacom tigo wala halotel
Cocacola ingebaki yenyewe kusingekuwa na cola, Pepsi nk
ITV ya uingereza ingekuwa yenyewe lakini kuna ITV mpaka Tanzania
Una takiwa kuelewa ulimwengu wa biashara ulivyo...
Nyinyi ndio wale wenye nongwa.Mimi huwa nakumbuka alivyotekwa na Makonda siku ile 'alipopatikana' polisi wakaenda nyumbani kwake na Azim Dewji akawa anamshukuru Magu kurudi kwa Mo wakati tunaambiwa aliibuka tu akajikuta yuko viwanja vya Gymkhana.
Wonders shall never end.
Hawa wanalipa hadi chini ya kiwango aseeKiwango kilichowekwa ni kiwango ambacho serikali imekiweka. Tatizo ni serikali
Basi atengeneze QualityMi naona yuko sawa
Wewe unatengeneza nini?Basi atengeneze Quality
PapuchiWewe unatengeneza nini?
Wanabodi,
Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are we still importing food, edible oil?!, akapiga na nyundo "unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large investment in agriculture" . Wito kwa serikali yetu, tusisubiri tuu kuwa reactive, sometimes we have to be pro active, Bashe aisikilize hii interview, amuite Dewji na kumpeleka kwa Mama, Dewji amsaidie Bashe, Mama na Watanzania, to formulate hizo "the right framework and policies to deal with large investment in agriculture", halafu tukishindwa ku implement, ndipo awaite CNN na kuwaeleza hayo!.
Huyu jamaa apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Hongera Sana Mo Dewji!
Paskali
Makonda alimteka kwa order iliyotoka kwa Jiwe.
Kuijibu post yangu ndiyo umezidi kuuchafua uzi, you could have just ignored it na yangeishia pale pale lakini kwa kuwa imekugusa(probably you were among the kidnappers) umejichanganya na kuifanya kuwa big issue.
Hivi timu yenu ya 'wasiojulikana'(msiojulikana) mnafanya shughuli gani siku hizi?
Ikawaje??GSM naye alifanyiwa mahojiano na Mpenja TV siku ya birthday yake
Still he is tanzanian, paying more tax to your government more than you could ever be able to pay or afford to payBut he doesnt look like 98% ya Watanzania, …