Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

Mo Dewji Aipaisha Tanzania Kimataifa on CNN "Unfortunately We Don't Have The Right Framework & Policies to Deal With Large Investment in Agricalture!"

Huyu dogo anaitwa Mo ni fala na mbinafsi.Kahonga pesa serikalini na bandarini vitenge vizuiwe ili auze vya kwake Kwa bei juu.Sasa kama ana bidhaa mzuri na yeye pamba ananunua Simiyu tu hapo anashindwaje kuuza bidhaa zake bei rafiki ya Mtanzania. Sasa anashindana na wachuuzi na kuuwa mitaji yao kariakoo huyu ana roho mbaya sana.
Mi naona yuko sawa
 
Ni vitu vya kawaida katika biashara

Mpesa ingekuwa yenyewe, kusingekuwa na tigo pesa wa airtel money

Ttcl ingekuwa yenyewe kusingekuwa na airtel vodacom tigo wala halotel

Cocacola ingebaki yenyewe kusingekuwa na cola, Pepsi nk

ITV ya uingereza ingekuwa yenyewe lakini kuna ITV mpaka Tanzania

Una takiwa kuelewa ulimwengu wa biashara ulivyo...
Umeongea la maana mno
 
Mimi huwa nakumbuka alivyotekwa na Makonda siku ile 'alipopatikana' polisi wakaenda nyumbani kwake na Azim Dewji akawa anamshukuru Magu kurudi kwa Mo wakati tunaambiwa aliibuka tu akajikuta yuko viwanja vya Gymkhana.
Wonders shall never end.
Nyinyi ndio wale wenye nongwa.
Umeeingia tu kuchafua Uzi.
Makonda alimteka Mo Dewji wapi?

Wacheni hizo propaganda. Wacha uhasama wewe!
Msitafufe kuchafua nchi


Ukalegee huko uliko
 
Wanabodi,

Mo Dewji if not yet, then probably is going to be the richest man in Tanzania!. Has 150 products, he is going to knock down Coca Cola and Pepsi Cola!, ametupaisha kimataifa, ila pia ametubagaza kuwa "we have got tons of arable land that can feed Africa, but he is surprised why are we still importing food, edible oil?!, akapiga na nyundo "unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large investment in agriculture" . Wito kwa serikali yetu, tusisubiri tuu kuwa reactive, sometimes we have to be pro active, Bashe aisikilize hii interview, amuite Dewji na kumpeleka kwa Mama, Dewji amsaidie Bashe, Mama na Watanzania, to formulate hizo "the right framework and policies to deal with large investment in agriculture", halafu tukishindwa ku implement, ndipo awaite CNN na kuwaeleza hayo!.

Huyu jamaa apewe kila aina ya ushirikiano na serikali yetu, ili afanikishe ndoto zake, na zikikamilika, atakuwa ndio tajiri No. 1 Tanzania na No. 2 Africa nyuma ya Aliko Dangote!.
Hongera Sana Mo Dewji!
Paskali

Hii nchi kila asiye na kazi ni mkulima kosa linaanzia hapo, utasaidia wangapi!
 
Makonda alimteka kwa order iliyotoka kwa Jiwe.
Kuijibu post yangu ndiyo umezidi kuuchafua uzi, you could have just ignored it na yangeishia pale pale lakini kwa kuwa imekugusa(probably you were among the kidnappers) umejichanganya na kuifanya kuwa big issue.
Hivi timu yenu ya 'wasiojulikana'(msiojulikana) mnafanya shughuli gani siku hizi?

Unasomeka.
Utalegea tu.
 
Back
Top Bottom