malikusema
Member
- Oct 7, 2019
- 20
- 17
Mbona wachezaji wengi simba wanalipwa over ten M a monthHapo tuseme simba INA wachezaji 33 na lila mmoja analipwa 10milion/month ndo itakuja 4billion
Apache kutuona mandeI
walikurupuka sasa inaanza kula kwao, huyu mzungu mtoto kaja kuvuruga mfumo wote!.Mi simba ila sikuona sababu ya kumfukuza uchebe.
Kumbe ulikuwa huwajui wahindi kwa kupenda sifa na kuabudiwa? labda hizo hela wamekula akina HajiMO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.
Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.
Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.
Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.
Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaihia wananchi maskini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unatukanganya?Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaihia wananchi maskini.
Mleta mada uko sahihi kabisa,namba anazotaja mo dewji,haziendani na ukweli halisi wa kile kinachoendelea pale simba sports club.MO Dewji kajiuzulu uenyekiti wa Bodi ya Simba na kubaki kuwa mwekezaji tu.
Katika kujiuzulu kwake anasema amechoka, anashangaa analipa mishahara kwa mwaka Bilioni 4 lakini matokeo ya hovyo.
Nadhani hadithi hii ina utata. Je, ni kweli kuwa MO analipa mishahara bilioni 4 kwa mwaka? Maana hiyo ni wastani wa shilingi milioni 333.33 kwa mwezi. Na kama wachezaji anaowalipa ni 25 pamoja na kuwa wanapitana mishahara lakini ni wastani wa shilingi milioni 13 laki 3 kila mmoja na kwamba Simba (Dewji) anapeleka 10% ya michango ya mifuko ya jamii mfano NSSF shs milioni 400 kwa mwaka?
Kama hiki asemacho siyo kweli ana malengo gani kutoa habari za uongo tena wakati anaachia ngazi?
Hawa Wahindi (sisemi kwa ubaguzi wa rangi) ni watu wa kuwaangalia sana kwani mara nyingi ni walaghai kwa sababu wazijuazo wenyewe.
"Mkono unaokulisha, utakutawala".MO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.
Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.
Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.
Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.
Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaia wananchi maskini.
MO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.