Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.
MO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.

Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.

Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.

Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.

Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaihia wananchi maskini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe ulikuwa huwajui wahindi kwa kupenda sifa na kuabudiwa? labda hizo hela wamekula akina Haji
 
Duuuh kweli hii nchi imejaa wachumia siasa Hadi suala la mishahara ya kisoka unaliletea kiki za kisiasa. Unajua mishahara ya wachezaji na makocha wake wewe? Au umekurupuka tu kumulaumu Mo.
Let me give an example mtu Kama Leo Mess analipwa almost 1B/week.

Haya 1b×30=30b/month.
Then, 30b×12=360b/year

Just imagine Messi mmoja bajeti yake ya mshahara kwa mwaka Ni almost Tsh360. Vipi kwa makocha na wachezaj wote wa Barcelona? .

Naomba niishie hapo kwasababu tu hili siyo jukwaa la Michezo Ila ningekupa nondo Zaid za kuonyesha uhalali wa Matumizi ya mo dewj aliyosema juu ya mishahara.
 
Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaihia wananchi maskini.
Mbona unatukanganya?
Kulipa b4 kwa mwaka kunahusiana vipi na kuwaibia masikini?Au una kitu kilichojificha?
Lete jedwali la kitabu cha bajeti kuu za serikali tuthibitishe kama serikali inalipa B4 kwa mwaka
 
MO Dewji kajiuzulu uenyekiti wa Bodi ya Simba na kubaki kuwa mwekezaji tu.

Katika kujiuzulu kwake anasema amechoka, anashangaa analipa mishahara kwa mwaka Bilioni 4 lakini matokeo ya hovyo.

Nadhani hadithi hii ina utata. Je, ni kweli kuwa MO analipa mishahara bilioni 4 kwa mwaka? Maana hiyo ni wastani wa shilingi milioni 333.33 kwa mwezi. Na kama wachezaji anaowalipa ni 25 pamoja na kuwa wanapitana mishahara lakini ni wastani wa shilingi milioni 13 laki 3 kila mmoja na kwamba Simba (Dewji) anapeleka 10% ya michango ya mifuko ya jamii mfano NSSF shs milioni 400 kwa mwaka?

Kama hiki asemacho siyo kweli ana malengo gani kutoa habari za uongo tena wakati anaachia ngazi?

Hawa Wahindi (sisemi kwa ubaguzi wa rangi) ni watu wa kuwaangalia sana kwani mara nyingi ni walaghai kwa sababu wazijuazo wenyewe.
Mleta mada uko sahihi kabisa,namba anazotaja mo dewji,haziendani na ukweli halisi wa kile kinachoendelea pale simba sports club.

Kuna kitu bado tunachezeshwa na hawa wahindi.

Time will tell!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata akiachia vyote Simba itaendelea kuwa Simba tu,Simba ni kubwa sana kuliko yeye na ni imara sana kuliko yeye
 
Na-assume Simba ina wachezaji 30. Kama analipa close to 4 billion kwa mwaka, anachotaka kutuambia Dewji kwa wamstani kila mchezaji wa Simba analipwa Sh. 10,000,000/- kwa mwezi!

Yaani nawahurumia sana mashabiki wa Simba manake tangia Aden Rage awaite hawa jamaa ni mbumbumbu basi kila mmoja ameamua kuwafanya mambumbumbu plus!! Yaani Dewj ndo umeamua kuwaambia mambumbumbu kwamba kwa wastani kila mchezaji unamlipa zaidi ya MILIONI KUMI kwa mwezi?! Yaani Hisa ununue kwa Sh, 20 Billion lakini 20% ya investment unaitumia kwenye mishahara tu?!

Halafu ngoja! Kwani wewe si una hisa tu pale Simba?! Sasa how come tena unajimwambafai kwamba unalipa 4 Billion kwa mwezi?! Ina maana hizo 4 billion unazitoa kwenye mfuko wako binafsi, au?! Ni kwa sababu umeshajua kwamba Mambumbumbu FC imejaa MAMBUMBUMBU na kwahiyo chochote unachosema watakiamini au hao MAMBUMBUMBU aliokuwa amewataja Rage na wewe ni mmoja wao, na kwahiyo unashindwa kutofautisha kati ya Payroll ya Mohamed Enterprises Tanzania Limited aka METL pamoja na payroll ya Simba?!

Wadau, hivi kuna mtu anamfahamu mtoto wa kike wa Aden Rage ambae hajaolewa ili nikamtangazie nia?! Haki ya Mungu nawaambia, ukipata mke mwenye baba mwenye akili kama Aden Rage, lazima utakuwa umepata mke mwenye akili vile vile, na hivyo kuziambukiza akili kwa wanao.
 
MO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.

Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.

Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.

Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.

Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaia wananchi maskini.
"Mkono unaokulisha, utakutawala".
 
Labda hiyo bilioni 4 ni aka ya milioni 400 jamani msikurupuke.Muulizeni vizuri
 
Milioni 334 kwa mwezi ni fedha ya kawaida kwa salaries za wachezaji,makocha pamoja na management.
 
Kana watapali mbumbumbu fc

Back
Top Bottom