theriogenology
JF-Expert Member
- Oct 7, 2016
- 8,748
- 15,681
Mkuu niko na msimamo ulio tukuka kabisa kuwa huyu jamaa asepe zakeHivi unatania ama uko serious?
Tena kwa fundo moja la muwa...Kikosi kipana kimepanuliwa
Simba waachane na wachezaji wa gharama waanze upya. Aishi Manura si mchezaji
Sent using Jamii Forums mobile app
Gharama za uendeshaji ndio zinamkimbiza MO,hapo simba , yaan ndio kajitoa jumla hajanyoosha maelezo,MO ni tapeli tu kama matapeli wa Ubungo aseme sababu ya msingi ya kujiuzulu asijifiche kwenye kichaka cha Mapinduzi cup.
MO DEWJI ambaye ni mwekezaji katika club ya mpira wa miguu, SIMBA Sc amejiuvua cheo hicho baada ya matokeo mabovu katika mchezo wa leo hii.
Simba SC aliingia dimbani na mtibwa SUGAR na kupokea kipgo cha 1-0
View attachment 1322400
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijakuelewa Tabutupu ! Taabu tupu ! Eti nini ? Nadhani unatania kuhusu mishahara inayolipa serikali ya Tanzania kwa mweziMO anatumia uwezo wake vibaya kuwanyanyasa wasio nacho.
Anajimwambafai eti kalipa 4B mishahara kwa mwaka.. ivi unataka kusema simba ni kubwa kuliko serikali ya zanzibar.
Serikali ya Muungano yenyewe kwa 4B inalipa miezi 4 hadi 5.
Nilipo soma tangazo la kujiondoa nikajiuliza , kulikua na umuhimu gaji wa kutaja fedha ulizo toa.
Ipo siku utavuna unacho panda kwa kuwaihia wananchi maskini.
Sent using Jamii Forums mobile app