Mo Dewji akana kujiuzulu Uenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Simba na Kubakia kuwa Mwekezaji

Status
Not open for further replies.
We mbumbumbu una nini

Mwanamke mchawi kama nini unachamba kama nini

Kazi kujivunia pesa za mwanaume moo tu tafuta zako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simba kama timu tumeingiza kiasi gani..

Mo ni mwana siasa mnyonyaji kama wengine


Sent using Jamii Forums mobile app

Hayo sasa ni mengine. Inawezekana alikuwa anatoa mfukoni kwake ziada kufidia mapato yanayopatikana. Na ndio maana inamuuma kukosa hicho kikombe maana mapato ya kushinda yangepunguza hiyo fidia.
 
Bongo haiwez kuendelea kama atakuwa anadhani fedha ndo zinacheza...kuna team kama Man U ina hela lakini kushinda kombe ni ndoto...kuwekeza kwenye team bila mikakati ni sawa na bure...lakini hawa hawaarabu sijui wahindi wa Tz ni wababaishaji tu...
 
MO ni tapeli tu kama matapeli wa Ubungo aseme sababu ya msingi ya kujiuzulu asijifiche kwenye kichaka cha Mapinduzi cup.
Gharama za uendeshaji, timu inaingiza milion500 kwa mwaka wakati yeye kwa mwaka anatumia bilion5 hii si biashara kichaa? Kwanini asikimbie?
 

Mkuu hivi chanzo cha utajiri wa Moise katumbi ni kipi? Je TP Mazembe inarudisha pesa iliyowekezwa kwa faida?
 
Wewe tumia akili

Timu inamilikiwa na familia, Kwa hiyo Jamaa mke akigoma kutoa pesa simba ndio basi

Zile pesa ni za familia sio za simba

Mjifunze kwa wajinga wenu yanga, Manji chali na Timu chali
Sawa mwenye akili.
 
GSM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We mbumbumbu una nini

Mwanamke mchawi kama nini unachamba kama nini

Kazi kujivunia pesa za mwanaume moo tu tafuta zako

Sent using Jamii Forums mobile app
Huna unachokijua kuhusu mpira Gsm(Ghalib said Mohammed) anayewapa hela yanga,anayewalipa wachezaji wa yanga mishahara na kuwasaidia kusajili sio mwanaume ni mwanamke yule?
 
Bakuli lao linaanza lini hawa mbumbumbu?View attachment 1322401
Hili la kulipa bilioni nne na la kutoshinda Kombe la Mapinduzi yanahusianaje? Kadhalika hii kulipa bilioni nne na kujiondoa uenyekiti wa Bodi vinahusianaje? Yaani hatakuwa analipa tena? Lakini Bongo ndiyo Bongo. Usishangae kesho akakana yote hayo kwa kusema akaunti yake imedukuliwa. Si unawajuwa hawa nanihii kwa kupenda kunyenyekewa? Kinachotakiwa hapo ni ujumbe tu wa kumpigia magoli.
 
Kwani kuna habari gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MO karata zake hakuzichanga vyema, simba kutolewa champion league hatua za awali kumempa hasara kubwa sana, na akiangalia simba hii uwezo wa kupambana tena champion league hamna, pesa ya kusajili wachezaji wakali hana, gharama za kulipa mshahara kubwa, ameamua kuanza kufungasha virago vyake, simba inampa hasara kama ini bidhaa zake za mo zimeshapata promo ya kutosha
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…