Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
We mbumbumbu una niniTp mazembe inamilikiwa na Moise katumbi na ndio timu yenye mafanikio Africa kuliko timu yoyote ile ya watu weusi ukiwatoa waarabu na wanamtegemea Moise katumbi kwa kila kitu? Azam ya juzi tu INA viwanja viwili wewe yanga una nini? Si ndo wewe ulipitisha bakuli uchangiwe?
Mwanamke mchawi kama nini unachamba kama nini
Kazi kujivunia pesa za mwanaume moo tu tafuta zako
Sent using Jamii Forums mobile app