Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Ni Vile tu Mo ni mswahili na hana professionalism.. Hivi wewe kweli kama ni mtu tena Billionaire unayejielewa unaweza kwenda bishana kujibu kila aina cha Critics zinazopatikana mtandaon utajib ngp na uache ipi?

Anatakiwa kujua kuAct kama mtu mwny akil timamu na uelewa zaid ya mambo aya sio kujib jibu tu kama Muongoza Vikundi wa Vijora au Khanga moja kua unatoa maneno had unatak kosana na mchezaj wako bora kisa Haji kasema kiti fulan.

Na hii lbd kama ni mpuuz tu hajui inamuaribia sana na inamfanya Haji aonekana anachosema lbd kina ukwl maana kama hakina ukwl kwnn unapanic kuja na vijembe..yan ye hajui kua Anafny Haji anaWin hii battle na ipo sik aya mambo yata backfire zaid ya hapa we muache ajitoe ufahamu wabongo ni watu wengne kbs.
 
Tuna wachezaji kadhaa wa Simba wenye ofa South akiwemo Chama,

Huu utoto wa MO utawapa nguvu wachezaji hao kutimka.
 
Tatizo mnadhani ukiwa bilionea huna moyo....
Ni mtu wa kawaida kama mimi na wewe, tofauti yetu ni pesa tu......kama ungeweza kuumia basi yeye pia anaumia.
 
MO mswahili sana,yupo kama Juma Ndandala wa huko keko machungwa,na hapo ndiyo kasoma shule za maana!

Sasa sijui kama angesoma shule hizi za kwetu za St Kayumba! Trust me! MO angekua Mchawi!
[emoji23]Daah mkuu umefny nicheke tu.
 
Tatizo mnadhani ukiwa bilionea huna moyo....
Ni mtu wa kawaida kama mimi na wewe, tofauti yetu ni pesa tu......kama ungeweza kuumia basi yeye pia anaumia.
Wewe unahis Bakhera hana moyo au GSM au Abramovic au Mansour unahis pia hawatukanwi..kuna state mtu ukifikia lzm uAct professional sio kua kama Muongoza vikundi vya Baikoko kua kila kitu lzm ujibu sasa unaonekana your useless..usitake kutetea mambo Ya MO anayofny haya kwa kua anaisaidia simba ni kwl kaifanya simba kupiga hatua lkn wanakwambia sik zote ukifanya kitu acha watu wafanye recognition wnyw sio lzm kila mtu umlazimishe aku~Acknowledge sasa yy ilo alijui kua huwez kila sik kuimba mm najitoa sana kwa simba mara ivi mara vile wewe fanya itazid kuonekana na ukiwa kmy unafny tu hata wale haters nao watajirud wataku~Acknowledge tu kua unfny kitu...usimtetee kwa upuuz huu ameingia kwny siasa cheap sana na Haji tena siasa zisizo na maana za mitandaoni na hii inazid kumpa Popularity tu Haji kua anachosema khs uongoz wa MO kinaweza kua na ukwl.
 
Mali za urithi huwa Zina changamoto zake

Unakua bilionea halafu unasutana na watu mitandaoni

This is utter rubbish

Mo kajiaibisha sana
 
Kila mtu na vitu anavyovipenda na maisha aliyochagua....
Vipi trump sio proffesional? Sio tajiri?
Mbona alikuwa anajibizana mitandaoni?
Maisha hayana formula, Hiyo proffesionalism unayoitaka ungeinza wewe kwa kuandika sentensi zinazoeleweka.
 
Yawezekana hiyo account anayoioparate ni MWIJAKU Mo mnyaturu makini aliyezaliwa mtaa wa kambi ya fisi Singida ambaye ni msomi na tajiri hawezi kupost huo utopolo
 
Mahaba niue. Editing ifanyike live?
 
Kila mtu na vitu anavyovipenda na maisha aliyochagua....
Vipi trump sio proffesional? Sio tajiri?
Mbona alikuwa anajibizana mitandaoni?
Maisha hayana formula, Hiyo proffesionalism unayoitaka ungeinza wewe kwa kuandika sentensi zinazoeleweka.
Hawa watanzania wenzetu ni sumu. Yaani eti tajiri haruhusiwi kuingia mtandaoni. Yaani hao kina Trump nk mbona wapo mtandaoni.
 
MO mpuzi sana, mi ni simba na nilikua namtetea lakini ni mpuzi, Chama ameajiliwa na simba ko hata akiondoka atabaki kua mchezaji wa simba. Watu wanaangaika kumpuuza manara yeye unakuja kuendeleza mjadala. Aache uswahili
 
Swahili la Uswazi MO. Hivi waliomteka mbona walimwachia? Ni fisadi number Moja. Wamiliki wa Simba 51% ambao ndiyo wenye nguvu wako wapi? Ninaamini hizo 51% zilivunjwavunjwa ili yeye kwa 49% awe majority share holder. Kulikuwa na kesi FCC ya kupinga umiliki wake Simba na sijui iliishia wapi. 😭😭😭
 
Acha urongo Mo hajajenga Namfua zaidi zaidi alitudanganya atatuletea nyasi bandia na hakuleta
 
Mimi naomba kuuliza huyo chama alimuongeleaje Manara? Usikute alimponda Mo na akamsifia Manara,
 
Kila mtu na vitu anavyovipenda na maisha aliyochagua....
Vipi trump sio proffesional? Sio tajiri?
Mbona alikuwa anajibizana mitandaoni?
Maisha hayana formula, Hiyo proffesionalism unayoitaka ungeinza wewe kwa kuandika sentensi zinazoeleweka.
Kumbe nilidhan naongea na mtu ambae ni sound mind..kumbe naongea na mnazi wa MO bila kuangalia anatetea nn..we kwa akil zako unahis me nabeza Mo alichofny?..tunazungumzia khs yy kua mswahili wkt mtu wa level yake he should know better kuingia kwny siasa cheap na haji.

Unasemea Trump na yy ndo alivo..kaishia wap saiv baada ya yy kua mropokaji?...usiongee tu bila kufikiria kutetea ujinga kwa kigezo mtu anakusaidia bas unaona kila kitu ni sawa akifanya.
 
Mimi naomba kuuliza huyo Chama alimuongeleaje Manara? Usikute alimponda Mo na akamsifia Manara,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…