Mo Dewji akerwa na Clatous Chama baada ya kumsifia Haji Manara Instagram Live

Tena walivyomvua wakampaka kilainishi
 
Mdosi huyu ana GUNDU!
 
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji86]
 

Mo ni mshensi hovyo kabisa huu ni udhalilishaji kwa wachezaji wote na wanasimba wote tusiokuwa na tabia za uchawa. Anataka aogopwe maxafanta
 
Sana na inatia hasira na inaleta panic balaa
 
Ajiandae Barbara anaweza kumshughulikia, ataanza kulala kwenye makochi wakienda nje ya nchi[emoji1787]
Haji alikua analazwa kwenye makochi huyu atalazwa nje kabisa mvua ikiwa inanyesha
[emoji23][emoji23][emoji23]chama naye kakosa busara mtu sio msemaji na hajaondoka vizuri why aandike shombo
 
Anatumia nguvu sana kuonyesha kuwa amejitolea mno ili Simba SC ifike hapa ilipofika. Kitu ambacho ni ukweli usiofichika, MO amepambana sana Simba ifike hapa ilipofika na anajua organization/enterpreneurship.

Lakini MO anachokosea ni kwamba mpaka Simba ifike hapa ilipofika kuna watu wengi sana wamehusika. Hii hadi mashabiki wa Simba, na mpaka baadhi ya wachezaji wa Simba wameaminishwa kuwa si kweli.

Timu inaanza kuwa ya kidikteta kwa kujitakia yenyewe kisa ni imani kuwa MO ndiyo kila kitu mwacheni. Si kweli kwani Simba itegemee ushindani mkubwa sana 2021/22 na hapo ndipo watamuona kama ni mwekezaji kama walivyo wawekezaji wengi duniani.

Inasemekana baada ya hapo wachezaji wakaanza kumpaisha ili asiwe na hasira (waliambiwa) which is so weird. Na kuna wanabodi kadhaa huwa hawamfagilii Chama wakidhani yupo close na Yanga kama alivyo manara.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…